Waziri nyalandu huu ni udanganyifu na udhalilishaji kwa watoto wa Singida acha kabsa na ushindwe

MADORO

Senior Member
Nov 12, 2011
198
117
KUMBE WAZIRI NYALANDU ANAWACHEZEA WATOTO WA SINGIDA KIASI HIKI????????


ukisoma makala ya leo katika gazeti la leo la dira ya mtanzania limeonyesha jinsi mbunge wa jimbo la singida kaskazini akiwatumia watoto vibaya kujipatia pesa huku akijinadi huku mkuu wa mkoa akimpigia debe ni mtu mzuri kumbe ni upuuzi mkubwa kwa wananchi maskini hivi watu wa singida mtastrabika lini. mtaendelea kuuzwa utu wenu hdi lini haya mliichagua ccm wenyewe huuu wembe ni stahili yenu. ila ni dharau kwa kweli " JAMANI TETEENI WATU WENU ACHENI KUWADHALILISHA"
 
Natamani kuamuka asubuhi siku 1 nikute nchi haina rais. Tunaweza kuishi kama tuko peponi. Maana .............kazi kwenu
 
Mkuu nadhani news imekosa mashiko,sasa weka upupu wote km hbr ilivyo ili tuuchangie kikamilifu.
 
Back
Top Bottom