MIRIJA IKATWE
Senior Member
- Oct 21, 2011
- 136
- 12
Aibu tupu, alifikiria kuna mpunga labda. Hana kazi ya kufanya jamani sasa ameumbuka.
Mtandao noma walitaka kuyumbisha
Mtandao noma walitaka kuyumbisha
halafu kuna yule mama mweupe alikuwa anamtetea sana nchimbi emmanuel mweupe hivi alikuwa ameambatana nae yule ni nani??au ndio alikuwa ametoka k.u.b.a.n.d.u.a na shombo zake akavamia maandamano,atakuwa alitokea bondeni hotel manzese pale si unajua kuna madanguro mengi,huyu ndiye waziri watu wanaomboleza msiba yeye anavaa suti rangi ya maziwa mpaka boxer inaonekana,alitokea ofisini huyu????yule jamaa ni fara sana, eti waziri, hawa ndo mawaziri wenu, sasa mbona mnaserikali mbovu sana. Waziri anafikiri kwa ******!! Hovyo sana. Eti anachekacheka mbelw za watu wanaoandamana kwa kulia wakiwa na uchungu, anajileta pale anachekacheka jinga sana. Eti ana phd, chuo kilichompa hiyo degree kichunguzwe, hafai kabisa. Watu wamevaa mavazi meusi wanalia yeye anajileta kama demu na mavazi yake ametoka guest house anachekacheka kama malaya. Wizara yake inahusika na mauaji badala ya kukaa atafakari ajiuzulu anajipitisha pitisha. Afrika na tanzania inaibishwa duniani na aina hii ya vilaza eti viongozi. Hivi nchi hii imekosa watu wa kuwa mazaziri mnawapa mamlaka vilaza kama hawa. Aiubu sana. Hoyvooo.
wanayo?
Kama hamfahamu vizuri Nchimbi ni zao la wanamtandao waliomweka Kikwete madarakani na ndio mwenyekiti aliyevuruga uvccm, na kama mnataka ukweli zaidi nendeni mkamhoji Sumaye Fredrick waziri mkuu mstaafu alikua anamaanisha nini alivyosema "anayefagia njia ya kwenda ikulu kwa karatasi basi akifika huko atatumia risasi ili aweze kutawala"mwaka 2005 kwenye kinyang'anyilo cha urais alipokuwa amechafuliwa sana na wanamtandao kwenye kampeni za kuwania urais kwa tiketi ya CCM.
yaani mkuu hapa ndo nilipo amini serikali ni kitu kingine,yani kina slaa walivopamba moto na ile ishu wakatuibulia babu yaani hawa jamaa wana akili za makalio sana ingawaje walifanikiwa kwa kiasi flani..safari hii sijui wataibua lipi kutupoteza
Je mnakumbuka mjadala wa dowans ulivyopamba moto wakatuletea kikombe cha babu loliondo?? Na viongozi wote waserikali wakawa wa kwanza kupata kikombe na kusifia kikombe??
There is no judgement against thinkingmkuu hapa ban inakuusu labda mod awe amesinzia ndio utaokoka
Anaweza baadaye akajitetea kuwa hakuja kama Waziri wa mambo ya ndani, bali alikuja kama mjumbe wa KAMATI fulani tu.