Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,428
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba , Viongozi wa Chadema wataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi kwenye ofisi ndogo za Makao Makuu , Kinondoni , D'salaam.
Taarifa za Nyuma ya Pazia zinadokeza kwamba huenda Ratiba kabambe ya Maandamano ikiwa ni pamoja na barabara zitakazotumika vitawekwa wazi.
Kama kawaida mimi mtumishi wenu nitawaleta kila kitakachozungumzwa.
Usiondoke JF kwa taarifa za Uhakika.