Waziri Mkuu kukutana na madaktari kesho

Kabisa kabisa kaka. I'll take common sense over As and Bs on any given day.

Halafu ni childish mtu kuja na kuanza kusema sema humu eti alipata sijui B kwenye somo fulani...sijui festi klasi ya sheria UDSM....who cares? Kwanza hatuwezi hata kulithibitisha hilo....anaweza kabisa akawa anatudanganya. But regardless, who the hell cares what grades you got in school?

Some people man.....

Ahsante sana kaka,

Kumbe si mie peke yangu niliyeshewa mvua pale kwenye ubao wa matangazo yalipobwandikwa matokea ya O-level ya mdau mwenzetu??

Bongo inatisha sana, zaidi ya Alshabab!!
 
Yaani Pasco hata kujishtukia huwezi? Ni bora tu ukae kimya kuliko kuendelea kuandika na kujianika jinsi ulivyo! So much for that law degree of yours!

Is this guy a law graduate? I f he is one, he must have forged his passing!!Angekuwa daktari angekuwa anawaua wagonjwa kwa ukilaza wake!!
 
Jackbauer!

Huyu Pasco wa JF aka PM ni mtu wa kujikuza sana hata pasipo stahiri sijui ni msukuma wa aina gani huyu homeboy. Hakuwa na sababu yeyote kuonyesha yeye alikuwa kipanga wa O level kupata karai kama anaukweli. Huko nyuma aliwahi bishana na jukwaa hili eti alidisco UD lakini akamaliza degree ya sheria lol! Amepoteza maana kwangu ameamua kuwa kwenye propaganda bila kujua JF kuna watu wenye kuona nyuma ya keyboard.

yaani mimi ndio nimechoka kabisa. mtu anajipaisha kwamba ni kipanga kwa makarai ya o-level! dah!
 
Kama ni huyu Pasco kuna siku alikuwa anatangaza kipindi, nafikiri cha maonyesho ya kibiashara akawa anajifagilia kwamba kazi ya utangazaji anaifanya kama hobby tu lakini yeye ni graduate wa laws kutoka UDSM. I fall sick when I argue with people of Pasco type. Huwezi kulinganisha taaluma ya udaktari na taaluma yoyote ile. These are rare professions ambazo ni intellectual intensive. Nimegundua huyu jamaa vibahasha anavyohongwa huko na wanasiasa kwa kazi ya upambe vinamlevya, eti udaktari siyo dili. shame on you.
 
Mkuu DC yeyote mwenye mawazo ya kutaka Madaktari wafukuzwe kufuatia kugoma kwao basi uwezo wake wa kuchanganua mambo ni mdogo sana. Hospitali zetu ziko katika hali mbaya na ya kutisha kutokana na hii Serikali taahira kutozipa kipaumbele kinachostahili kwa kuhakikisha wana vitendea kazi vya kisasa na pia wanalipwa vizuri ili wasipate tamaa ya kwenda kutafuta kazi nchi za nje.

Yule Waziri Mkuu Odinga alifanyiwa operesheni kubwa ya kichwa miaka michache iliyopita. operesheni hii ilifanyika Kenya lakinikama angekuwa Pinda basi asingethubutu kufanyiwa operesheni kama hiyo Tanzania. Angeenda India au nchi za magharibi na hii inatokana na hii serikali taahira kuzitelekeza hospitali zetu na kutozipa uzito unaostahili kwa kuwa wao wakiugua wanaenda kutibiwa nje tena kwa pesa za walipa kodi. Mie pia naunga mkono mgomo wa madaktari mwenye ubavu wa kuwafukuza awafukuze.


Hata kama ni wewe utaogopa. Manake hapo kuna historia ya mtu kufanyiwa operation ya kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa.
 
Hata kama ni wewe utaogopa. Manake hapo kuna historia ya mtu kufanyiwa operation ya kichwa badala ya mguu na mguu badala ya kichwa.
mtu anafanya ops zaidi ya kiwango na bado anazifanya akiwaza jinsi ya kujibu mwanae akidai ada ya shule.... Inasikitisha!
 
Back
Top Bottom