Waziri Kombani Ndani Ya Sakata La Jerry Muro

Ulizia mazee! Alichukua ambulance na magari kibao nyenye namba za STH kusindikiza marehemu mama wa waziri wa serikali

Mkuu Masa;

Kuna policy ya serikali na wafanyakazi kusaidiana wakati wa misiba. Kuna uwezekano hata wa kupewa Jeneza na Usafiri? Ama sivyo?
 
Mkuu Masa;

Kuna policy ya serikali na wafanyakazi kusaidiana wakati wa misiba. Kuna uwezekano hata wa kupewa Jeneza na Usafiri? Ama sivyo?

yeah! Sasa kama kungetokea dharura ya Ambulance kuwahi mgonjwa ingekuwaje wakati ipo Mahenge?
 
Mmh haya makubwa..Celina ajibu tumsikie ana lipi la kusema ila ni aibu ktk utendaji wake!!..
 
Sikumbuki katika masakata ya Ufisadi kama Waziri Mwanamama amewahi kutajwa . . . huenda hii ikawa ni ya kwanza.

Uzuri wa akina mama . . . . ukimsema sana anakumwagia chozi, huruma inaingia kisha unaona basi yaishe tu. Akina mama wana huruma jamani.

Mimi naomba tu kwa jinsi huyu mama body languages zake zinavyoonyeshwa anaonekana hana hatia kabisa. Angalia macho bandugu.

Huenda Jerry Muro alikosea kutype katika laptop yake . . . . LOL

Ongeza kumbu kumbu zako na kuachana na assumption wakati ukweli upo.

Zakia Megji na uuzaji wa shamba la mitiki! Vipi tena Shamsa Mwangunga alipokili ubadhilifu wa pesa za wafadhili huko huko Maliasili na Utalii?

Mengine jitahidi kukumbuka peke yako.
 
Ulizia mazee! Alichukua ambulance na magari kibao nyenye namba za STH kusindikiza marehemu mama wa waziri wa serikali

Masanilo

Na hapo ndipo utajua kuwa Tanzania ni ya mawaziri na wabunge wewe na mimi hatuna nafasi.
 
Unaweza saidia jukwaa kujua?

Mama Kombani Kiboko alifiwa na mama yake Dar akachukua ambulance ya wagonjwa Temeke na Magari kibao ya serikali kupeleka Msiba Mahenge!

Ongezea hili;
SUA kama mwajili wake wa zamani ilitoa zaidi ya milioni 5 kwa ajili ya msiba huo na pale chuoni iligeuka kuwa skendo.

Kwamba Chuo kimelazimishwa au kinajikomba kwa kufahamu uhusiano wake na presid.? Kama kawaida ya wakuu wa taasisi, sidhani kama hata leo mkuu wa chuo akiulizwa analo la kusema.
 
Kila Mkurugenzi wa halmashauri ambazo ni takriban 150 ikimpelekea fedha Kombani kila mwezi, unafikiri atapata tabu wakati wa kura za maoni? Huyo mama amekuwa Naibu waziri kwa miezi 24 halafu akapokea kijiti kutoka kwa Pinda tuseme atamaliza ndani ya miezi 60. Sasa miezi 60 X 500,000= 300 millioni.Na hivyo ndivyo inavyokuwa
 
Nafahamu huyu mama kampani yake ya karibu ni Aisha Kigoda, Sofia Simba na Hawa Ghasia.

Maana wakati mwingine mtu hutambulika kutokana na kampani anayojitambulisha nayo.
 
Nafahamu huyu mama kampani yake ya karibu ni Aisha Kigoda, Sofia Simba na Hawa Ghasia.
Maana wakati mwingine mtu hutambulika kutokana na kampani anayojitambulisha nayo.
Tell me your friends I'l tell who you are. Me nshawaambia hakuna mpiganaji serikalini sasa kama company yake ndo hiyo unadhani kuna uzima kweli hapo!
 
Ninachoshangaa ni kwa nini Waziri Mkuu alimsimamisha kazi yule counsellor wa Bagamoyo na kumwacha huyu mama anatamba. She had to go too na nina hakika waziri mkuu anao ushahidi wa ulafi wake.
 
Ongezea hili;
SUA kama mwajili wake wa zamani ilitoa zaidi ya milioni 5 kwa ajili ya msiba huo na pale chuoni iligeuka kuwa skendo.

Kwamba Chuo kimelazimishwa au kinajikomba kwa kufahamu uhusiano wake na presid.? Kama kawaida ya wakuu wa taasisi, sidhani kama hata leo mkuu wa chuo akiulizwa analo la kusema.

Unauhakika na hili unalosema kuhusu huyu mama au unazumchanganya na waziri mwingine?.
 
Naona sasa huyu mama ametulia! au bado ana mawenge mawenge mwakani uwaziri ndo basi tena.

Bongo tambarale; kama Lowassa atarudi kwenye cabinet kwanini huyu mama asirudi na ufisadi aliofanya ni kiduchu ukifananisha na RICHMONDULI!!
 
Back
Top Bottom