Waziri Kombani Ndani Ya Sakata La Jerry Muro

kilosa+1.JPG
 
Katika habari ya wali gazeti lilisema kuwa yule mhasibu aliyesimamishwa na Pinda kule bagamoyo alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na Waziri mmoja na huyo waziri hakutajwa katika gazeti lile. hivyo leo ndiyo katajwa. Habari ya awali ilikuwa inaonyesha kuwa mhasibu amemfanyia mambo mengi sana waziri husika. ( Nimeeleza nilivyoelewa na sijanukuu)

Tena waziri huyu ni wa Morogoro
 
Superman haya nimeshaona kuwa unajua kuweka picha hivyo basi pisha kidogo na hiyo mipicha. Unajaza uzito tu hapa.
 
Superman haya nimeshaona kuwa unajua kuweka picha hivyo basi pisha kidogo na hiyo mipicha. Unajaza uzito tu hapa.

Superman anjaribu kukuonyesha jinsi huyu Mama alivyojivisha "ngozi ya kondoo" Kumbe ndani ni Mbwa mwitu! Kila picha anatabasamu - UNAFIKI TU na WIZI!
 
inaonekana mmeshasahu mambo ambayo mafisadi hawataki mjue juu yao! niliyaandika hapa.

Mkuu niliyasoma yote na kama sikosei uliandika kwenye Mwanahalisi/ Tzdaima. Believe me yale uliyoyaongea will need a special training to the normal civilians. That way i do like Operation Sangara. Chadema keep it up before May 2010 please.
 
Superman anjaribu kukuonyesha jinsi huyu Mama alivyojivisha "ngozi ya kondoo" Kumbe ndani ni Mbwa mwitu! Kila picha anatabasamu - UNAFIKI TU na WIZI!

Kumbe mtu akitabasamu ndio innocent? Mbona mafisadi ndio wanaoongoza kwa kutabasamu? Ndio maana mnazidi kuwachagua kuwa wabunge wenu kwa vile wakijakuwaomba kura wanakuwa wanatabasamu, Baba Enock!
 
lol kweli mama mpole lakini kilichopo kwenye nafsi yake Superman anasema tuiachie mahakama na mahakama za Bongo ni kwa ajili ya maskini tu watu kama hawa wataendelea kupeta uraiani.

Sikumbuki katika masakata ya Ufisadi kama Waziri Mwanamama amewahi kutajwa . . . huenda hii ikawa ni ya kwanza.

Uzuri wa akina mama . . . . ukimsema sana anakumwagia chozi, huruma inaingia kisha unaona basi yaishe tu. Akina mama wana huruma jamani.

Mimi naomba tu kwa jinsi huyu mama body languages zake zinavyoonyeshwa anaonekana hana hatia kabisa. Angalia macho bandugu.

Huenda Jerry Muro alikosea kutype katika laptop yake . . . . LOL
 
Uzuri wa akina mama . . . . ukimsema sana anakumwagia chozi, huruma inaingia kisha unaona basi yaishe tu. Akina mama wana huruma jamani.

Wakimfuatilia sana atasema 'wanamwonea kwa sababu yeye ni mwanamke'!
 
Sikumbuki katika masakata ya Ufisadi kama Waziri Mwanamama amewahi kutajwa . . . huenda hii ikawa ni ya kwanza.

.....

Kumbe Zakhia Meghji si mwanamama, kina Kijo nao...... okay, you are excused as your memory does not serve you well.
 
Kumbe Zakhia Meghji si mwanamama, kina Kijo nao...... okay, you are excused as your memory does not serve you well.

Naona memory yake ipo full ndo maana hakumbuki kabisaaaa.
Akina mama nao ni mafisadi wazuri sana tena kushinda wanaume.
Nimesikia kisa kimoja kuna Diwani mwanamke alikuwa ananyemelea nyeti za marehemu ili atengeneze apete uchaguzi wa Octoba baba mdogo mtu kamtoa balu. Kaambulia fedheha dili limegoma sijui kama atashinda huyu mwanamke anataka afanye ufisadi kwenye maiti.Sikiliza Wapo FM utakipata kisanga hiki.
 
Kumbe Zakhia Meghji si mwanamama, kina Kijo nao...... okay, you are excused as your memory does not serve you well.

Mamaaaa; Mkuu nisamehe bureeee, kumbeeee . . . Jamani mambo mengine hadi tunasahau . . . .

Nadhani ni kwa sababu ya Amani na Utilivu na Mshikamano.
 
Mamaaaa; Mkuu nisamehe bureeee, kumbeeee . . . Jamani mambo mengine hadi tunasahau . . . .

Nadhani ni kwa sababu ya Amani na Utilivu na Mshikamano.

Nice Come back!! LOL...hii hoja ya amani siku itawatokea watu puani its like the last left argument ya chama cha kijani!!
 
Back
Top Bottom