Waziri Jafo kwanini unadanganya watanzania kuhusu ajira za Walimu?

juz kasema vbal vya kuajil secta ya afya na elim vitatolewa HV karbn na karbun ya wanasiasa utaambiwa miez 3
 
Wanasiasa acheni uongo mwogopeni Mungu, uliulizwa maswali mengi bungeni ukawa unajibu kwa jeuri kuwa ajira za walimu zitatoka mwezi May mapema.

Mpaka sasa hakuna msitufanye wananchi hatuna akili, Rais nae alisema uhakiki ni mwezi na sehemu mwezi umeisha hebu achani hizo semeni ukweli kama nchi haina pesa.
Jaffo alikuwa anajitahidi kutimiza majukumu yake japo yamekwamishwa na watu wengine.
 
Mwogope sana mtu anayejibu maswali kwa mizuka mingi.

Tambua tu hapo hakuna kitu.
 
Back
Top Bottom