Waziri Jafo kwanini unadanganya watanzania kuhusu ajira za Walimu?

nkanga chief

JF-Expert Member
May 31, 2016
2,084
1,620
Wanasiasa acheni uongo mwogopeni Mungu, uliulizwa maswali mengi bungeni ukawa unajibu kwa jeuri kuwa ajira za walimu zitatoka mwezi May mapema.

Mpaka sasa hakuna msitufanye wananchi hatuna akili, Rais nae alisema uhakiki ni mwezi na sehemu mwezi umeisha hebu achani hizo semeni ukweli kama nchi haina pesa.
 
unaleta lugha ya uchochezi eeh! te te tetetete.. pole mkuu siasa ndivyo ilivyo.
 
Wanasiasa acheni uongo mwogopeni Mungu, uliulizwa maswali mengi bungeni ukawa unajibu kwa jeuri kuwa ajira za walimu zitatoka mwezi May mapema.

Mpaka sasa hakuna msitufanye wananchi hatuna akili, Rais nae alisema uhakiki ni mwezi na sehemu mwezi umeisha hebu achani hizo semeni ukweli kama nchi haina pesa.
Ngoja subiri jaffo aje akupe jibu kamili
Siasa ni noma sana aisee
 
Waseme ili watu tusain mikataba huku.....
Muda wote unasubiri nini kusaini mkataba na taasisi binafsi, ikiwa una haki ya kuuvunja kwa kufuata utaratibu mnaowekeana pindi utakapotaka?
 
Kaka serikalin Luna raha yake, after all sjajua kama kuna namna mtu anaweza kusitsha contract
 
Wanasiasa acheni uongo mwogopeni Mungu, uliulizwa maswali mengi bungeni ukawa unajibu kwa jeuri kuwa ajira za walimu zitatoka mwezi May mapema.

Mpaka sasa hakuna msitufanye wananchi hatuna akili, Rais nae alisema uhakiki ni mwezi na sehemu mwezi umeisha hebu achani hizo semeni ukweli kama nchi haina pesa.
Wanasiasa acheni uongo mwogopeni Mungu, uliulizwa maswali mengi bungeni ukawa unajibu kwa jeuri kuwa ajira za walimu zitatoka mwezi May mapema.

Mpaka sasa hakuna msitufanye wananchi hatuna akili, Rais nae alisema uhakiki ni mwezi na sehemu mwezi umeisha hebu achani hizo semeni ukweli kama nchi haina pesa.
Kuweni wavumilivu
 
jaffo kasema jana kupitia chten kuwa endeleen kuwa wavmiliv zoez la uhakk linakaribia kuisha.
Hahaha endeleeni kuisoma namba Kama mmemaliza kuzisoma jaribu kutafita mamba 0 kwa kirumi. Hao ndo wanasiaaa bwana.
 
Back
Top Bottom