Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimeshawahi kufanya ligi na gari ndogo za magazeti

Noah wanatembea 140kph wastani
Isuzu pickup wanatembea 160kph

Muda mwingi mwendo wao unacheza hapo na hawana vituo vya hovyohovyo.

Nilikuwa na Mkorea 'Tucson' manual 220kph +10 max, niliwatailgate lakini nikaona wananipotezea muda nikawaacha.
 
Miaka sita hivi nyuma, kulikuwa na Abood bus Dar Tunduma, Scania, ukiiona kwa nje huwezi kuidhani, ndani ilikuwa powa sana, siti nzuri na zenye nafasi.

Kuna siku nao niliwatailgate maeneo ya Doma - Mikumi nikaona wanatembea 160 hadi 170 kph, sijui waiifanyaje ile basi, hatari sana.
 
Kuna jaamaa yangu ana Audi R8, anaishi Lusaka.

Mwakani Mungu akipenda nitatangaza ligi ya 'mwisho' Mpika - Lusaka (Zambia) 650km, maana mkeka umetulia na hakuna longo longo za Trafiic officers njiani, ni gate kwa gate.

Tukifika Lusaka ni kufurahia weekend na hatimaye kurudi Bongo, audi ya watu nitaiacha hukohuko, hivyo nitaomba lift wakati wa kurudi.
 
Nimeshawahi kufanya ligi na gari ndogo za magazeti

Noah wanatembea 140kph wastani
Isuzu pickup wanatembea 160kph

Muda mwingi mwendo wao unacheza hapo na hawana vituo vya hovyohovyo.

Nilikuwa na Mkorea 'Tuckson' manual 220kph +10 max, niliwatailgate lakini nikaona wananipotezea muda nikawaacha.
Tupe uzoefu wako wa gari za Korea Mkuu! Mbona bongo haziagizwii mkuu shida ni Nini? Spea ,mafundi au? Mi nilitaka kuagiza Kia Sorento nikakwama Mana ni left hand side.
 
Issue ni ku clear taa ya check engine isiwake au ni kutafuta root cause ya tatizo?

no wonder mafundi wahuni huwa wanafunga na black masking tape ili upate amani ya moyo kumbe tatizo liko palepale
Siyo kwamba faults
Issue ni ku clear taa ya check engine isiwake au ni kutafuta root cause ya tatizo?

no wonder mafundi wahuni huwa wanafunga na black masking tape ili upate amani ya moyo kumbe tatizo liko palepale
Lakini reader nyingine zina full system functions. Hivyo unaweza ku-reprogram fuel injection system, ku-regenerate dpf etc.
 
Back
Top Bottom