Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mi nna ki obd reader changu nilinunua china $15 I think. Kinasoma na kuclear check engine vizuri tu. Same codes zinazoonekana na haya mamashine yao makubwa.

Hizi tech zimewekwa makusudi ili bei iwe rahisi but wabongo wanatupigia hapo.
Issue ni ku clear taa ya check engine isiwake au ni kutafuta root cause ya tatizo?

no wonder mafundi wahuni huwa wanafunga na black masking tape ili upate amani ya moyo kumbe tatizo liko palepale
 
Kweli tatizo hayo mabodi yao ya sasa...Kuna magari ukiyaegemea vibaya, unaweza ukanunua ugomvi,...niliegemea ubavu wa noah siku moja, likabonyea nilipotoka likarudi...bahati mwenyewe hakuwepo hapo...
Nilishawai ipamia noah na pick up mlangoni ikawa km imegongwa na tren nikiifikiria ile body afu vjn wa kusafirisha gazet wanavopepea na hizo noah cna ham nao
 
Back
Top Bottom