Wazee wa EAC Wanatia huruma...

Kama ni huruma tu, hata wewe unaweza kwenda kuwalipa. Swali, kwanini Nyerere hakuwalipa katika uhai wake?

Sasa mie niwalipeje wajameni????.....Nyerere alimwachia Mwinyi hiyo kazi......nae alimwachia Mkapa.......Mkapa amemwachia JK hilo jukumu..........afu mbona kuna kipindi JK alitangaza kuwa hao wazee watalipwa , imekuwaje hawajalipwa mpaka sasa?
 
Aliyewaachisha kazi.

Hivi wewe kama unafanya kazi leo hii, ukiachishwa kazi ni nani akulipe?

Labda waliambiwa wasubiri baada ya mda fulani wangelipwa ndio imekuwa hadithi mpaka leo......au labda hawastahili manake mie sitaki kuamini kama kweli mtu anaweza kusumbuliwa na haki yake kama hawa wazee wetu.
 
Sasa mie niwalipeje wajameni????.....Nyerere alimwachia Mwinyi hiyo kazi......nae alimwachia Mkapa.......Mkapa amemwachia JK hilo jukumu..........afu mbona kuna kipindi JK alitangaza kuwa hao wazee watalipwa , imekuwaje hawajalipwa mpaka sasa?

Una uhakika na ulichoandika au unaandika mambo ya Pwagu na Pwaguzi?

 
Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) iliyovunjika mwaka 1977, Pascala Maziku akiomba dua, kwenye mkutano wa wastaafu hao uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akimwuliza Mungu kama kweli wana haki ya kulipwa mafao yao au la. Mzee huyo anadai kuwa alipewa ishara ya kuwa wana haki ya kupatiwa mafao. Picha na Zacharia Osanga




Waliotuingiza kwenye hii jumuiya ya kitapeli wanatakiwa kunyongwa. When will this country learn?

 
Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.

Wacha uongo wewe.

 
Nyerere mwaka 1977 kwanini alikataa kuwalipa?

Sijui zomba ......sijawahi kujua kumbe Nyerere alikataa kuwalipa

Kiukweli mwaka huo mie bado hata kufikiria kuzaliwa.......kumbe aliwahi kukataa

Serious kama unajua sababu iweke hapa kwa faida ya wengi!
 
Last edited by a moderator:
Zomba is a chronic hater, defending himself on the Mwalimu Nyerere decisions...actuall he hates Nyerere personally, and this will burn Zomba forever.

Your burnt brain tells you the proof above is enough to "burn" Zomba and not the one who did not pay terminal benefits to his employees. Good burnt way of thinking.
 
Hivi umesoma ulichoandika au ndio kukurupuka kwenyewe?



Unaonaje tukikupa hiyo kazi?

Sasa wewe ambae hukurupuki si uandike mbona maswali yanazidi?.......wewe umeleta wazo la kuwanyonga walioanzisha hiyo jumuiya afu unipe mie kazi ya kuwanyonga?????.....hehehe unachekesha kweli.

Au unajisemea tu vile uko nyuma ya keyboard?????.....eti wanyongwe......kama wewe shujaa kweli toka ukayaseme hayo hadharani!
 
Sijui zomba ......sijawahi kujua kumbe Nyerere alikataa kuwalipa

Kiukweli mwaka huo mie bado hata kufikiria kuzaliwa.......kumbe aliwahi kukataa

Serious kama unajua sababu iweke hapa kwa faida ya wengi!

1) Wafanyakazi wa umma hawana haki ya kuudai umma, wametumikia umma kwa faida ya umma (sitotumia cheo changu wala cha mwenzangu kwa faida yangu).

2) Dhulma (nyingi tu wakati huo, si kwa hao wazee tu, wengi aliwadhulumu).

Soma post #40 uone Wakenya walilipwa lini.
 
1) Wafanyakazi wa umma hawana haki ya kuudai umma, wametumikia umma kwa faida ya umma (sitotumia cheo changu wala cha mwenzangu kwa faida yangu).

2) Dhulma (nyingi tu wakati huo, si kwa hao wazee tu, wengi aliwadhulumu).

Soma post #40 uone Wakenya walilipwa lini.

Nashukuru!
 
Naona unahaha na hujui ulisemalo, soma hii document ya bunge la Kenya uelewe yaliojiri:

NATIONAL ASSEMBLY
OFFICIAL REPORT
Wednesday, 5th August, 2009
The House met at 2.30 p.m.
[The Temporary Deputy Speaker
(Mr. Imanyara) in the Chair]

Question No.126
TERMINAL DUES FOR KENYAN EMPLOYEES OF
DEFUNCT EAC

Mr. Yakub asked the Deputy Prime Minister and Minister
for Finance:-
(a) what became of the country's entitlement in the defunct East
African Community (EAC) as well as the terminal dues of the Kenyan
employees in the Community;
(b) how much the British Government paid as terminal benefits for
Kenyans working for the defunct Community;

(c) who the recipients are, amount paid and dates of payment to all
former employees of the Corporations of the defunct EAC, among them
the East African Harbours and Cargo Handling Services, the East African
External Communications, the East African General Funds Services, the
East African Customs, the East Africa Railways, the East African
Airways, the East African Harbour and the East African Post and
Telecommunications; and,
(d) what medium is used to communicate to all the former
employees or their beneficiaries about the payment of their terminal dues.

The Assistant Minister, Office of the Deputy Prime Minister and Ministry of
Local Government (Mr. Nguyai): Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, on behalf of the
Deputy Prime Minister and Minister for Finance, I beg to reply.
(a) Kenya's entitlement in the defunct EAC is provided for in the East African
Community Mediation Agreement Act, Cap.4 of the Laws of Kenya. The Act stipulated
how the assets and liabilities of EAC were to be divided between the three countries, and
how the employees of EAC were to be compensated for their service. Kenyan officers
who served under the Community were given two options with regard to their terminal
dues, namely:-
(i) To retire from the EAC on the re-organization or abolition of service and be
paid their benefits immediately; or,
(ii) To join the Kenyan Government and State corporations and be paid their
benefits on retirement at normal retirement age of 55 years.
Officers who opted to retire immediately upon the dissolution of EAC were paid
their retirement benefits on 30th June, 1977.
Those who took the second option continue
to be paid their retirement benefits in full from the date they joined the EAC to the date of
retirement from the Kenyan Government or State corporations. In addition, some
members who had contributed to the East African Provident Fund and the National Social
Security Fund are paid as they leave service based on their contribution records, which
are extracted from the Arusha, EAC Registry for the purpose.
(b) The British Government paid £21,841,427 as terminal benefits for Kenyans
who worked in the defunct EAC.
I assure this House that the money was paid and
continuous to be paid to the deserving former employees of EAC.
The money was paid as per agreed division to the three Governments of Kenya,
Uganda and Tanzania.
The Government of Kenya received 42 per cent of the money,
which is held in a deposit account at the Treasury, entitled the East African Community

Fund. The balance in the Fund as at 31st May, 2009, was Kshs488,931,501.65.
Source: <CITE>Parliament of The Republic Of Kenya


Kama hiyo haitoshi, soma na hii:

</CITE>EAC Pension Funds were partly contributed to by the workers, deducted at source and remitted to the British Crown Agents for management, including prudent investment.

When the Bank of Tanzania (BoT) received the moneys from the Crown Agents in FY-1986/87, the Govt. appropriated them.

Source:
http://www.businesstimes.co.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=1533:too-true-eac-pensions-leave-bad-taste-in-the-mouth-&catid=37:column&Itemid=60

Nini usichokielewa hapo? Huwa sikisii!<CITE></CITE>



Kuna mtu kasema ati malkia alisaidia unafahamu maana ya kusaidia? Hii michango yao ilikuwa invested kwenye serikali ya UK. Sasa pesa unasema zililetwa 1986/87 Nyerere alikuwa bado rais? Weka facts hapa Zililipwa pesa kiasi gani (Kenya amount imeonyeshwa ya bongo vipi?) na nani alichukua au zilienda wapi? Sio kutoa coclusion ambazo hazina kichwa wala miguu. Usiwe na sydrome culture ya ku-blame tu bila facts.


Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.

Unasema waliteswa kitu ambacho ni uongo, (unaweza ku-substantiate aina ya mateso?) then unasema ''inasemekana'' ... .... ... hearsay. Wacha majungu kaka weka facts!

 
Kuna mtu kasema ati malkia alisaidia unafahamu maana ya kusaidia? Hii michango yao ilikuwa invested kwenye serikali ya UK. Sasa pesa unasema zililetwa 1986/87 Nyerere alikuwa bado rais? Weka facts hapa Zililipwa pesa kiasi gani na nani alichukua au zilienda wapi? Sio kutoa coclusion ambazo hazina kichwa wala miguu. Usiwe na sydrome culture ya ku-blame tu bila facts.




Unasema waliteswa kitu ambacho ni uongo, (unaweza ku-substantiate aina ya mateso?) then unasema ''inasemekana'' ... .... ... hearsay. Wacha majungu kaka weka facts!

Inasemekana (au bungeni huwa hawasemi ?) kwenye hiyo hansard ya bunge la Kenya, nimeiweka post #40 na links ya nilipoikokoa ipo hapo. Ukipenda iamini ukipenda usiiamini, mimi naiamini.

Sasa kumyima ktu haki yake na kumuwacha kuwa omba omba si mateso hayo? Fikiri.
 
Inasemekana (au bungeni huwa hawasemi ?) kwenye hiyo hansard ya bunge la Kenya, nimeiweka post #40 na links ya nilipoikokoa ipo hapo. Ukipenda iamini ukipenda usiiamini, mimi naiamini.

Sasa kumyima ktu haki yake na kumuwacha kuwa omba omba si mateso hayo? Fikiri.

Sawa kuamini kwako isiwe kigezo cha kusema huo ndio ukweli wenyewe. Mimi nimeuliza maswali machache tu na naona tayari unagwaya, unapotumia 'inasemekana' tayari hilo neno linaonyesha kuwa uhakika wake ni mdogo. Kuhusu kutumia hilo neno bungeni ni lazima uwe makini kwa sababu Bunge ukilidanganya utakuwa kama Zito aliyefungiwa kwa kipindi kadhaa na sidhani kama spika anaweza kulikubali hilo neno kutumika kuashiria ndio ushahidi wenyewe.


Sasa hawa wazee umesema waliteswa na Nyerere wakati huwezi kutoa maelezo ya hayo mateso, then unataka tukukubalie tu kwamba waliteswa - that's pathetic. Je, uliwaona hawa wazee wakiwa omba omba wakati wa Nyerere? Au ndio basi una chuki na Nyerere? FYI Kambarage alifunga mpaka wa Kenya na Tanzania kwa miaka kadhaa na bila jitihada za Sokoine ule mpaka usingefunguliwa. Lets stick to the facts, if the money come in 1986/7 what happened? What does the government do to solve this problem?
 
Back
Top Bottom