Wazee wa EAC Wanatia huruma...

Uongo ni upi hapo? soma post #40 kuna hansard ya bunge la Kenyea nimeiweka kwa ushahidi kamili.
Ushahidi wako upo against yourself. umesema pesa zililipwa Nyerere akazidhulumu. halafu ushahidi wako unaonyesha pesa ziliingia BoT mwaka 1986/87(rais hakuwa Nyerere hapo). Je huyo Malkia aliwalipa hao watu mara mbili?
 
Wewe wacha mapungufu, Kenya walilipwa mwaka 1997, Nyerere alikuwa wapi?

Malikia analipa mpaka leo. Ungesoma ungeelewa hujasoma hansard niliyoibandika pamoja na link nilizoweka hukuzifata, unataka kubishana nini? kasome halafu uulize maswali kama lugha imekupiga chenga, hilo sio kosa langu, ndio mfumo wa elimu mlioachiwa na Nyerere.
 
umesema Nyerere alizitia ndani hizo hela. na sasa hivi unauliza nyerere alikuwa wapi? hueleweki unataka kutueleza nini.
Inawezekana wewe huelewi lugha iliyotumika kwenye ushahidi ambao umeuleta mwenyewe.
 
Back
Top Bottom