Wazee wa EAC Wanatia huruma...

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
[h=6]Mstaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) iliyovunjika mwaka 1977, Pascala Maziku akiomba dua, kwenye mkutano wa wastaafu hao uliofanyika jana jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akimwuliza Mungu kama kweli wana haki ya kulipwa mafao yao au la. Mzee huyo anadai kuwa alipewa ishara ya kuwa wana haki ya kupatiwa mafao. Picha na Zacharia Osanga[/h]
 
Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.
zomba you seem to hate the late Nyerere (may he R.I.P) to the bit!
 
Last edited by a moderator:
Unaikumbuka na hii picha?
11.JPG
 
zomba you seem to hate the late Nyerere (may he R.I.P) to the bit!

Do not get me wrong, I do not hate Nyerere as a person, I hate Nyerere's decisions on leadership, they were all wrong. EAC is a good example. Why did he not finalize with these poor peoples? why leaving them in jeopardy all these years? Why blame others for his mistakes?

Nyerere was simply a human being like me and you, he had his mistakes and he admitted to that, why you are trying to make him faultless?
 
Tena siyo ndogo, huyo aliyewatosa sijui saa hizi yukoje huko?

Hivi kweli serikali inashindwa kuwalipa hawa wastaafu??
Ni serikali ndio inatakiwa kuwalipa maana ni serikali hii ya ccm, wala haijabadilika.
Halafu serikali hii ndio inataka watu wasubiri mpaka wafike umri wa miaka 55 ndio wadai mafao yao ???!!!
Ina maana hao wastaafu hapo kwenye picha bado hawajafikia umri wa miaka 55 ???
 
Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.

Kwa hili ninakubaliana na wewe kaka,kosa lilifanyika wakati huo,lakini kilichokuja kushangaza zaidi ni kuwa baada ya mahakama kuamuru walipwe mafao yao stahili Serikali ya CCM bila aibu ukawalipa pesa waliyostahili mwaka 1977 bila kuangalia anguko la sarafu.Inaingia akilini kweli mtu aliyetakiwa kulipwa 20,000/= mwaka 1977 alipwe pesa kama hiyo 2000?Hii ni dhuluma kubwa serikali imefanya,kwa pesa hiyo mwaka 1977 mtu angeweza hata kusimamisha kibanda lakini kwa mwaka 2012 pesa hiyo hata mlo wa siku haitoshi..
 
watakuwa wametumwa na chadema kuharibu amani na utulivu wa nchi hii inayojali demokrasia
 
Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.

huyo Nyerere ndiye aliyetengeneza system ambayo leo ndo mnairingia amani na utulivu plus alikuwa hawachukii wachaga
 
masikini wazee wananyanyasika kweli kweli,hao wanaotaka kuwadhulumu watapata laana...
 
Do not get me wrong, I do not hate Nyerere as a person, I hate Nyerere's decisions on leadership, they were all wrong. EAC is a good example. Why did he not finalize with these poor peoples? why leaving them in jeopardy all these years? Why blame others for his mistakes?

Nyerere was simply a human being like me and you, he had his mistakes and he admitted to that, why you are trying to make him faultless?

That is your nature of blame! blame! blame! Yeah! Blame America, Blame Israel, Blame the Zionists, Blame Bush, Blame Nyerere, Blame MoU, Blame after blames. Real people take responsibilities and solve problems
 
Anyone who allows frustration to prevail and engulf him, has surely surrounded himself with vanity and he shall never see the truth nor reason correct.
 
haya ndiyo wanataka kutufanyia sisi na huu mpango wao wa pension....lo
 
Anyone who allows frustration to prevail and engulf him, has surely surrounded himself with vanity and he shall never see the truth nor reason correct.

Your quotation is very right, did you look at it with open eyes? If you have, go back to my post and answer those questions. If you can not, I am sorry to say, eyes you have see they see not.
 
That is your nature of blame! blame! blame! Yeah! Blame America, Blame Israel, Blame the Zionists, Blame Bush, Blame Nyerere, Blame MoU, Blame after blames. Real people take responsibilities and solve problems

Whom to blame? when did those people lost their jobs? if the answer is, during Nyerere's dictatorship, why did he not settle with them? why? why? why?

Who is to blame? me? you? Kikwete? themselves? the courts? Mkapa? Mwinyi?

Think!
 
huyo Nyerere ndiye aliyetengeneza system ambayo leo ndo mnairingia amani na utulivu plus alikuwa hawachukii wachaga

Kwani Nyerere alipokabidhiwa madaraka aliikuta hii nchi haina amani? au alikuta kuna vita? au madaraka yalipatikana kwa kumwaga damu? Fikiri!
 
Back
Top Bottom