Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Hawa wazee waliteswa na Nyerere toka ujana wao, inasemekana fedha zilikuja na Malkia wa Uingereza alisaidia walipwe (wakati wa Nyerere) zikatiwa ndani. Semeni.
Huyu Nyenyere kafanya dhulma kubwa sana ktk nchi hii....Kawafanya wabongo vilaza, katutia umasikini....