NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
hakuna haja ya kuwa na muungano,simply katiba mpya iue muungano rasmi,hakuna haja ya kubeba gunia la misumariMchakato wa kupata katiba mpya upo njiani huenda ikazaa katiba tatu Rasmi, TANGANYIKA, Zanzibar na ya Muungano.