wawafundishe watoto umuhimu wa elimu, huku wakiwafundisha watoto wao umuhimu wa kushika elimu, kuhakikisha walimu ni bora na vifaa vya kufundishia vipo vya kutosha bila kusahau vitabu, library na labs. wakisaidiwa na wazazi watoto watafanya vizuri na si kutafuta visingizio visivyokuwa na kichwa wala miguu.
hata kwenye shule moja baadhi ya wanafunzi wanaweza pata feki, na wengine wasipate sembuse kati ya shule na shule
Sasa kama hamuiamini NECTA mtamwamini nani? Tunapotaka kuleta tena siasa kwenye hili jambo tunajimaliza. Kwa nini tunatetea tu hata mambo yasiyofaa. Kama waliiba mitihani wamestahili walichopata. Kama mnadhani kuwa na wengine waliiba pelekeni ushahidi baraza wachukue hatua. Tuache kulalama mno. Sio lazima ukivuja na wengine wapate. vinginevyo ingevuja nchi nzima. Jamani tulipende hili taifa kwa kuwa na positive thinking wakati mwingine
you have said it all mkuu. Kama wana ushahidi kuwa na wengine walipata wapeleke baraza. Wanalalama mno. Huku mtaani wapo form four wasiojua hata kuandika sentensi moja. Sijui baraza linahusikaje. Sielewi ni kwa nini sielewi baraza linavohusika hapa.
mimi naamini necta wamaeyachakachua haya matokeo
Hivi kwanini 1997 mtihani ulifutwa?jee unaamini mtihani unaweza kuvuja Shule 1 halafu usiangukie shule nyengine?tena ukiwa kwa mwanafunzi siku 14 mkononi?. hakuna duniani formula walioutumia NECTA.
Leo nimesoma gazeti la Mwanahalisi na kuona makala moja inayopinga hoza za Dk Ndalichako kuhusu kufutiwa matokeo ya wazanzibar.
makala hiyo inazungumzia jinsi matokeo hayo yalivochahakachuliwa.
kwa mfano, wanadai kuna shule zipo pua na mdomo, moja imefutiwa matokeo ya wanafunzi 170 na mmoja kusalimika , lakini nyegine haikuguswa na hata mtu mmoja. Makala hiyo inadai haingii akilini swali hili la Mtihani uvuje sehemu ya shule usiambukize shule nyengine.
kwa mfano kutoka shule ya kiislam na hadi shule ya Kiembe samaki ni dakika 2 kwa miguuu. lkn shule ya kiembe samaki hakuna alieguswa shule ya kiislam amesalimika 1 kati ya 52. hivyo hivyo kwa shule ya Hamamni na Vikokotoni, Benbella na Haile salas ambazo zipo karibu sana. lkn Hamamni ambayo inaonekana inafanya vizuri zanzibar imebakwa na Necta kwa kuwafutia matokeo ya wanafunzi 152 kati ya 172 lakini hizo nyegine hakuna alieguswa. Hii anasema sawa na moto umeunguza nyumba ya mtaa mmoja ukaambukiz mtaa wa 2 lkn nyumba za jirani zimeachwa. moto huu wanadai utakuwa wa Kichawi
lkn pia anadai haiwezekani uvuje Zanzibar ushindwe kuvuja bara hasa huko wanafunzi waliopata div1 yaani hapa shule za seminary
pia wanadai Necta imejaribu kufuta zile shule ambazo ni bora kw miaka ya nyuma huko Zanzibar na kupeleka Alama ya D na F shule ambazo zimepakana na shule zilizofutiwa matokeo.
Pia imejidai hao wanafunzi wa shule waliofutiwa ambao wao wamesalimika wameangua Div 1v kwa alama ya D na F.
jeografia ya zanzibar kutoka shule hadi shule ni dakika 5 hadi 10 kwa miguu huku mtihani ulifanywa siku 14.
lakini haiwezekani uvuje zanzibar usipande meli au Ndege kufika Iringa na Bukoba.lkn hat hii njia ya Email au simu nayo ipo lkn nndalichako anadai Wabongo hawakuona.
Kikubwa zaidi wanadai shule zilizolengwa na sakata hili shule ambazo zikifanya vizuri sana huko nyuma mfano shule ya Mikunguni, High view na Lauret.
pemba shule ya kiislam wamefutiwa wote .
Vilaza wakubwa Dr Ndalichako waambie wasiingize siasa za majitaka walizozoea kwenye academics. This is plain stupidity!Leo nimesoma gazeti la Mwanahalisi na kuona makala moja inayopinga hoza za Dk Ndalichako kuhusu kufutiwa matokeo ya wazanzibar.
makala hiyo inazungumzia jinsi matokeo hayo yalivochahakachuliwa.
kwa mfano, wanadai kuna shule zipo pua na mdomo, moja imefutiwa matokeo ya wanafunzi 170 na mmoja kusalimika , lakini nyegine haikuguswa na hata mtu mmoja. Makala hiyo inadai haingii akilini swali hili la Mtihani uvuje sehemu ya shule usiambukize shule nyengine.
kwa mfano kutoka shule ya kiislam na hadi shule ya Kiembe samaki ni dakika 2 kwa miguuu. lkn shule ya kiembe samaki hakuna alieguswa shule ya kiislam amesalimika 1 kati ya 52. hivyo hivyo kwa shule ya Hamamni na Vikokotoni, Benbella na Haile salas ambazo zipo karibu sana. lkn Hamamni ambayo inaonekana inafanya vizuri zanzibar imebakwa na Necta kwa kuwafutia matokeo ya wanafunzi 152 kati ya 172 lakini hizo nyegine hakuna alieguswa. Hii anasema sawa na moto umeunguza nyumba ya mtaa mmoja ukaambukiz mtaa wa 2 lkn nyumba za jirani zimeachwa. moto huu wanadai utakuwa wa Kichawi
lkn pia anadai haiwezekani uvuje Zanzibar ushindwe kuvuja bara hasa huko wanafunzi waliopata div1 yaani hapa shule za seminary
pia wanadai Necta imejaribu kufuta zile shule ambazo ni bora kw miaka ya nyuma huko Zanzibar na kupeleka Alama ya D na F shule ambazo zimepakana na shule zilizofutiwa matokeo.
Pia imejidai hao wanafunzi wa shule waliofutiwa ambao wao wamesalimika wameangua Div 1v kwa alama ya D na F.
jeografia ya zanzibar kutoka shule hadi shule ni dakika 5 hadi 10 kwa miguu huku mtihani ulifanywa siku 14.
lakini haiwezekani uvuje zanzibar usipande meli au Ndege kufika Iringa na Bukoba.lkn hat hii njia ya Email au simu nayo ipo lkn nndalichako anadai Wabongo hawakuona.
Kikubwa zaidi wanadai shule zilizolengwa na sakata hili shule ambazo zikifanya vizuri sana huko nyuma mfano shule ya Mikunguni, High view na Lauret.
pemba shule ya kiislam wamefutiwa wote .
Vilaza wakubwa Dr Ndalichako waambie wasiingize siasa za majitaka walizozoea kwenye academics. This is plain stupidity!
Hawa vilaza bado wanataka kutumia upumbavu wa kisiasa hapa; they should be SHATTERED!