sio hoja. kama mtihani wa std 7 ulivuja Tanga. mbona hadi wa shinyanga walifutiwa? jee uvuje zanzibar usifike rukwa? hii ndio mara ya 1 kutokea kiini macho kama hichi. NECTA hapa wakubali wamechemshakila siku wanapanua midomo tu hawa,
kwa kuna ulazima gani kwa wao kuwa chini ya necta?watafute utaratibu wao wa elimu kama necta hawaitaki
sasa hapa kuna vita vya ukiristo na uislam? hivi NECTA NI YA UKIRSTO? ndio maana ikawapa div 1shule za wakiristo tu?Hawa wnzetu wanapenda sana kulalamika hata kwa issue ambazo ni technical zaidi. Ubinafsi wao unawagharim sana. Wakati wakilalamikia shule za kikristu, waangalie walimu wanaofundisha shule zao, isijekuwa ni bora walimu. Aghalabu ni ngumu sana kumuona mwalimu mkristu, au mkristu akiajiriwa kwenye taasisi yoyote ya kiislamu, wakristu wao wanaangalia content ya mtu na siyo dini.
Jamani, hivi, unamaanisha jirani akiwa mwizi na wewe unakuwa mwizi? Wasitolee mfano usio na mshiko wa moto kuwaka. Kwa hiyo wanavosema ni kuwa shule zote za Zanzibar wanaiba mitihani, isipokuwa wengine wanaiba ki akili zaidi?
Acheni ubaguzi nyie viumbe.
Nyie c mnasoma qruan
zaidi kuliko elimu ya
dunia, mtaachwa hivyo hivyo
Mliiga kuita shule zenu
SEMINARI! lakikini zinaa
mbulia 0!. CATHOLIC
SEMINARI zimeendelea
kutamba.
Na mimi naamini una NAZI badala ya kichwa juu ya mabega.Mimi naamini NECTA WAMAEYACHAKACHUA HAYA MATOKEO
Nyie c mnasoma qruan
zaidi kuliko elimu ya
dunia, mtaachwa hivyo hivyo
Mliiga kuita shule zenu
SEMINARI! lakikini zinaa
mbulia 0!. CATHOLIC
SEMINARI zimeendelea
kutamba.
Kwani kuvuja kwa mitihani huwa unaambukizwa kwa kuvuma kwa upepo?
na harufu ya dini pia inazingatiwahata kama kuna ukweli lkn kwa kua ni madai ya zanzibar uctegemee kabisa mtu kua great thinker ili apambanue kama kuna ukweli au la, humu lete mada za chadema, lowasa nk uone watu watavokua bize kukomenti hata kama ukweli uko wazi mtu ataugeuza uongo. Ni wachache sn wenye sifa ya kuwemo humu wengi wao ni watumwa wa vyama na watu wao tu.
Napenda nikuulize, ivi hata kama kweli umevuja nani wa kuhukumiwa kati ya watoto na wasimamizi waliosababisha uvujaji huo wa mitihani?
ndalichako kula vichwa hivyo
Kwani kuvuja kwa mitihani huwa unaambukizwa kwa kuvuma kwa upepo?
Leo nimesoma gazeti la Mwanahalisi na kuona makala moja inayopinga hoza za Dk Ndalichako kuhusu kufutiwa matokeo ya wazanzibar.
makala hiyo inazungumzia jinsi matokeo hayo yalivochahakachuliwa.
kwa mfano, wanadai kuna shule zipo pua na mdomo, moja imefutiwa matokeo ya wanafunzi 170 na mmoja kusalimika , lakini nyegine haikuguswa na hata mtu mmoja. Makala hiyo inadai haingii akilini swali hili la Mtihani uvuje sehemu ya shule usiambukize shule nyengine.
kwa mfano kutoka shule ya kiislam na hadi shule ya Kiembe samaki ni dakika 2 kwa miguuu. lkn shule ya kiembe samaki hakuna alieguswa shule ya kiislam amesalimika 1 kati ya 52. hivyo hivyo kwa shule ya Hamamni na Vikokotoni, Benbella na Haile salas ambazo zipo karibu sana. lkn Hamamni ambayo inaonekana inafanya vizuri zanzibar imebakwa na Necta kwa kuwafutia matokeo ya wanafunzi 152 kati ya 172 lakini hizo nyegine hakuna alieguswa. Hii anasema sawa na moto umeunguza nyumba ya mtaa mmoja ukaambukiz mtaa wa 2 lkn nyumba za jirani zimeachwa. moto huu wanadai utakuwa wa Kichawi
lkn pia anadai haiwezekani uvuje Zanzibar ushindwe kuvuja bara hasa huko wanafunzi waliopata div1 yaani hapa shule za seminary
pia wanadai Necta imejaribu kufuta zile shule ambazo ni bora kw miaka ya nyuma huko Zanzibar na kupeleka Alama ya D na F shule ambazo zimepakana na shule zilizofutiwa matokeo.
Pia imejidai hao wanafunzi wa shule waliofutiwa ambao wao wamesalimika wameangua Div 1v kwa alama ya D na F.
jeografia ya zanzibar kutoka shule hadi shule ni dakika 5 hadi 10 kwa miguu huku mtihani ulifanywa siku 14.
lakini haiwezekani uvuje zanzibar usipande meli au Ndege kufika Iringa na Bukoba.lkn hat hii njia ya Email au simu nayo ipo lkn nndalichako anadai Wabongo hawakuona.
Kikubwa zaidi wanadai shule zilizolengwa na sakata hili shule ambazo zikifanya vizuri sana huko nyuma mfano shule ya Mikunguni, High view na Lauret.
pemba shule ya kiislam wamefutiwa wote .
hata exam NECTA wanachakachua