Wauza smartphone tukutane hapa

Natafuta tab 2 au 3 au simu ya samsung yoyt originl inayotumia lain mbili iwe katka hari nzur nipgie 0714702720
 
Natafuta note 2 mbili na Grand prime 1 ziwe mpya Kwenye box ziwe na kila kitu chake.
Nicheki via 0715490570

Note 2 ina wiki tatu tangu imekuja kutoka Korea
 

Attachments

  • 1447770810330.jpg
    1447770810330.jpg
    28 KB · Views: 242
Mambo zenu wadau kitu chasumsung
galaxy note 3 original na box lake,
imetumika kwa miezi 9, iko katika hali nzuri na haina tatizo lolote
INTERNAL MEMORY : 64 GB
RAM: 3gb
CAMERA:13mp
Android 4.3 jelly bean
BEI: tsh. Laki 5 na nusu (tsh 550,000)
LOCATION: Dar Es Salaam (kigamboni)
Call: 0718295182
0713922557
Ahsante
12208734_711312365635645_8600554226683608438_n.jpg

10593037_711312438968971_754623707967241260_n.jpg

11987087_711312482302300_952322960840307249_n.jpg
 
nauza Huawei ascend mate 7,

internal storage 32gb
camera 13MP
ina kila kitu na imetumika miezi 4 tu,


na pia natafuta mwenye iphone 6 au iphone 6+ aniuzie isiwe ya magumashi wala isiwe fake,najua iphone vizuri sana kwa hiyo kama ni ya magumashi staki,
 
nauza Huawei ascend mate 7,

internal storage 32gb
camera 13MP
ina kila kitu na imetumika miezi 4 tu,


na pia natafuta mwenye iphone 6 au iphone 6+ aniuzie isiwe ya magumashi wala isiwe fake,najua iphone vizuri sana kwa hiyo kama ni ya magumashi staki,

sh ngap
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom