Wauza smartphone tukutane hapa

0d630a098802a4280b5c84aee1a4cc65.jpg
 
Wakuu nina mtaji kama 6m naweza anzisha duka la phone, naomba kupata mawazo yenu changamoto n.k
 
Nina Sony Xperia C3 Mpya kabsa haijatumika bei sawa na bure ya tsh 320000 niko Dar call me 0625489948 au 071645377
 
Wakuu kwa mwenye uhitaji na simu hii bado mpya rangi yake ni blue Gb32
Bei 1300000

Pm ukihitaji zaidi ipo mwanza
1463810867324.jpg
1463810888276.jpg
1463810895016.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom