Macho ka ndulele..twende twende...twende...
Nakumbuka ukizidiwa unamwambia mwenzako...ngoja nitasema ulivyofanya matusi na fulani...hapo ananywea anaanza kukubembeleza
miguu kama spoku za baiskeli twende twendeeeeeeeeeeeee....mpaka leo sijajua spoku za baiskeli ndio nini na zikoje?
Mrefu kama ngongoti!
Hivi yalikua yanaitwa matani au malani??
Kidevu kama ncha ya dengu.
Eti domo kubwa chapati hukunji