Wauswazi wenzangu, mnakumbuka matani? Twende, twendee, twendeee

Greater thinker

JF-Expert Member
Sep 12, 2011
286
38
Mgongo ka meza ya kahawa tweendee tweendee...

Macho ka kete za pool...tweendeee tweendee..

Mfupi ka mabetriii tweeennnddeee twendee

Meno ka folen ya madumuu twendee twendee..
 
miguu kama spoku za baiskeli twende twendeeeeeeeeeeeee....mpaka leo sijajua spoku za baiskeli ndio nini na zikoje?
 
Macho ka ndulele..twende twende...twende...
Nakumbuka ukizidiwa unamwambia mwenzako...ngoja nitasema ulivyofanya matusi na fulani...hapo ananywea anaanza kukubembeleza
 
Nini nini nini nini "huyu jamaa alilala na mama na baba usiku kujigeuza akashika uboo wa baba na kumwambia baba ile betri ya redio hii hapa"
bado unataka tena nini nini nini nini...........
 
Nini nini nini nini "huyu jamaa alilala na mama na baba usiku kujigeuza akashika uboo wa baba na kumwambia baba ile betri ya redio hii hapa"
bado unataka tena nini nini nini nini...........
ha ha ha....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom