kibaya-kenya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 649
- 165
Kweli yeyote aliyesoma na kumuona huyu binti hakika lazima machozi yakutoke na nafsi iume sana,anatishiwa kuwaua na kufanyiwa hila zozote za kumpoteza kimaisha.
Kapuya, mwanaccm,kiongozi waziri, mbunge na mtu mzima kafanya haya yote huku akijua hakuna wa kumfanya lolote, hata kwenye sms ilionaswa akiwasiliana na huyu maskini mtoto yatima, alimweleza kwamba wao ndio wenye dola na anaweza kumfanya lolote, tuliona vijana wa kapuya wakikodi wauaji kwenda kumua huyu binti kupoteza ushahidi wote.hata bunge na polisi nao wanahusika kumlinda huu muhuni.
Sasa nirudi kwenye lengo langu kuu, hawa ndio viongozi wa ccm na watawala wetu, maadili na dhana ya kuwa viongozi kwao wamepoteza ndio maana kila siku nawambia kwamba ccm ni genge la wahuni na wauaji, wahuni wote wanakimbilia hicho chama kujilinda kwa uovu, uhuni, uwizi na uaji wa kila namna, uzinzi ambao ndio mtaji mkubwa wa viongozi wa ccm kuanzia ngazi zote,sio diwani, mbunge, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa na wote wenye nafasi ndani ya ccm, matendo ya ngono kwao ni sehemu ya kazi ktk chama, kumbekeni kashfa ya makamba sr, mwigulu na wote mnao wafahamu hata karibu vyeo vingi ndani ya serikali ya ccm hutolewa kwa misingi ya mwanamke kutoa rushwa ya ngono, angalia nafac nyingi za ukuu wa wilaya na mikoa yana sadifu alichofanya KAPUYA na ndio maana huu utamadunii wao tangu mwanzo.
Sishangai juzi wakina PINDI CHANA, MWIGULU na WEREMA, wakipigia chapuo sheria kandamizi ya magazeti lengo ni kulinda huu uozo na uzinzi wa viongozi wa ccm.
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mcha mungu ataiunga mkono hii serikali ya ccm, maana imekuwa chukizo kwa watu wote.
K
kulinda h