Watz mnashangaa ya mhuni kapuya? Hii ndio taswira halisi wa viongozi wote wa ccm

always huwa naamin vijana wa Chadema upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana huongozwa na nguvu ya viroba au bangi' hivi hamuoni kuna tofauti kati ya maisha binafsi na maisha ya chama kama taasisi, mahakama ndio yenye uamuzi wa mwisho kama ni kweli au sivyo, tumien busara isiyohitaji hata elimu ya darasa la 2 kufikiri, jiulize kati ya Ccm na chama chenu kipi ni genge la wahuni kama si nyinyi ambao hukutana kwenye Casino yenu kuvuta bangi na kufanya upuuzi wenu wa kuharibu maadili ya watanzania' hamuweI kuwapotosha watanzania

kwa vile unajua ni ngumu shwala hili kufikishwa mahakamani?
 
Huyu bwana ni mhuni tu,hafai kuwa kiongozi akafanye professional alizosomea tu.Akiwa waziri,kuna siku nilimkuta AKUDO amelewa bwii halafu anacheza na vibinti viwili vibichi vina vipensi vidogoo(nusu uchi).ilikua bonge la show,aachie ngazi akafanye uhuni wake huko mabarabarani.
 
mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu ni mchungu , lakini wajue kuwa wakitetea hili litawamaliza mwaka 2015 kwani jamaa ameshajiaminsha kuwa atakuwa Waziri mkuu.....!!!!!

Waziri mkuu na gonjwa lote alilonalo loh! Mbona Watanzania yametukuta! Wagonjwa na watu wenye kasoro kibao watatuongoza mpaka tujute, haya magonjwa mengine wadudu wanatafuna ubongo na mtu hawezi kuwa sawa, na ndio maana tunaongozwa ndivyosivyo
 
Mwingine anaanguka majukwaani
 
waziri mkuu na gonjwa lote alilonalo loh! Mbona watanzania yametukuta! Wagonjwa na watu wenye kasoro kibao watatuongoza mpaka tujute, haya magonjwa mengine wadudu wanatafuna ubongo na mtu hawezi kuwa sawa, na ndio maana tunaongozwa ndivyosivyo

mkuu meno yako na kucha zako unazipenda kweli ???!!!
 
That is what we call stereotyping. Too unfortunate to you and your fellows.pole sana kwa akili finyu.
 
always huwa naamin vijana wa Chadema upeo wao wa kufikiri ni mdogo sana huongozwa na nguvu ya viroba au bangi' hivi hamuoni kuna tofauti kati ya maisha binafsi na maisha ya chama kama taasisi, mahakama ndio yenye uamuzi wa mwisho kama ni kweli au sivyo, tumien busara isiyohitaji hata elimu ya darasa la 2 kufikiri, jiulize kati ya Ccm na chama chenu kipi ni genge la wahuni kama si nyinyi ambao hukutana kwenye Casino yenu kuvuta bangi na kufanya upuuzi wenu wa kuharibu maadili ya watanzania' hamuweI kuwapotosha watanzania

acha kuongea km unatumia nazi na si kichwa, hakuna wapindisha sheria kama ccm eti viroba na bange na huyo mbakaji alivmia viagra au? huna hata aib kutetea uozo au ndo kapuya wewe?
 
Uongo mtupu
Siasa chafu
Sema kila mara
Kila dakika rejea uongo
Mwisho utaonekana ni kweli
 
Back
Top Bottom