Watz mnashangaa ya mhuni kapuya? Hii ndio taswira halisi wa viongozi wote wa ccm

kibaya-kenya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
649
165
Kweli yeyote aliyesoma na kumuona huyu binti hakika lazima machozi yakutoke na nafsi iume sana,anatishiwa kuwaua na kufanyiwa hila zozote za kumpoteza kimaisha.
Kapuya, mwanaccm,kiongozi waziri, mbunge na mtu mzima kafanya haya yote huku akijua hakuna wa kumfanya lolote, hata kwenye sms ilionaswa akiwasiliana na huyu maskini mtoto yatima, alimweleza kwamba wao ndio wenye dola na anaweza kumfanya lolote, tuliona vijana wa kapuya wakikodi wauaji kwenda kumua huyu binti kupoteza ushahidi wote.hata bunge na polisi nao wanahusika kumlinda huu muhuni.
Sasa nirudi kwenye lengo langu kuu, hawa ndio viongozi wa ccm na watawala wetu, maadili na dhana ya kuwa viongozi kwao wamepoteza ndio maana kila siku nawambia kwamba ccm ni genge la wahuni na wauaji, wahuni wote wanakimbilia hicho chama kujilinda kwa uovu, uhuni, uwizi na uaji wa kila namna, uzinzi ambao ndio mtaji mkubwa wa viongozi wa ccm kuanzia ngazi zote,sio diwani, mbunge, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa na wote wenye nafasi ndani ya ccm, matendo ya ngono kwao ni sehemu ya kazi ktk chama, kumbekeni kashfa ya makamba sr, mwigulu na wote mnao wafahamu hata karibu vyeo vingi ndani ya serikali ya ccm hutolewa kwa misingi ya mwanamke kutoa rushwa ya ngono, angalia nafac nyingi za ukuu wa wilaya na mikoa yana sadifu alichofanya KAPUYA na ndio maana huu utamadunii wao tangu mwanzo.
Sishangai juzi wakina PINDI CHANA, MWIGULU na WEREMA, wakipigia chapuo sheria kandamizi ya magazeti lengo ni kulinda huu uozo na uzinzi wa viongozi wa ccm.
Hakuna mtu mwenye akili timamu na mcha mungu ataiunga mkono hii serikali ya ccm, maana imekuwa chukizo kwa watu wote.
K

kulinda h
 
Yule mbunge wa Lumumba mwimba kwaya naye anakurupuka na dogo dogo!! kweli kua uyaone -- Baba miaka 67 na ushee na katoto miaka 14 unakasaulia nguo!!
 
Walimtumia Werema ahakikishe hoja hiyo kandamizi inapita lakini "Nguvu ya Umma" Ikashinda, yote hayo yalikuwa ni maandalizi ya mwaka 2015 walijua kuwa wataumbuliwa sana na magazeti. Hatimaye Asante Mungu wetu.
 
me inaniumiza tu huyu binti alichomfanyia mpuuzi mkubwa sana...... kwa nini Mungu anaacha watu wabakaji wanaishi jamani..... me ingekuwa uwezo wangu hawa wanaume wanaobaka ningewamalizia mbali nawachukiaaaaa.l.....
 
tuweni wavumilivui na wenye kustahimili zaidi ya hapa, pamoja na kujua nini tunafanya, mda si mrefu, Mungu ataona uvumilivu na ustahimilivu wetu, harafu ccm na uhuni wao wote utafikia kikomo.
 
kama kweli KOVA anajali basi angeanza kwenda kwenye kamera za biashara building na pia message za kwenye simu ya yule binti kwa sababu kama angelikuwa mtu mwingine yeyote amefanya hivyo hayo ndio ambayo angeyafanya. polisi hufanya kazi kwa kutumia TIP na taarifa ya kwenye gazeti ni zaidi ya tip kama mtu ana nia ya kufanya uchunguzi
 
mkuki kwa nguruwe lakini kwa binadamu ni mchungu , lakini wajue kuwa wakitetea hili litawamaliza mwaka 2015 kwani jamaa ameshajiaminsha kuwa atakuwa Waziri mkuu.....!!!!!
 
Kapuya anaposema kuwa hii ni nchi yao anaweza kuwaua hao mabinti na asifanywe lolote ni kweli tupu kwani mwanae Kapuya aliua mtu kule kwao na hakufanywa kitu wala mahabusu hakulala; hii ndio Tanzania ya serikali ya magamba!!!
 
ni mlolongo wa wahuni watupu safari ya kutafuta haki ya mtoto huyu imekuwa yakutisha mno ni mungu tuu aliyewasimamia fikiria unakodisha hata jambazi wakawauwe watoto halafu kova anasema ni mambo yake binafsi wamezoea kuua na saa wananfanya ni sehemu ya chai
 
Kapuya anaposema kuwa hii ni nchi yao anaweza kuwaua hao mabinti na asifanywe lolote ni kweli tupu kwani mwanae Kapuya aliua mtu kule kwao na hakufanywa kitu wala mahabusu hakulala; hii ndio Tanzania ya serikali ya magamba!!!

wengi ameua na hawaufantwa kitu ditopile chenge,misafara ya KIkwete na Bilali yote inauua lakini husikii wamepelekwa mahakamani
 
Professor, Alhaj, Mbunge, Waziri, Mume, baba Nanii, Shushushu, Mjasiriamali, Baba wa Lingwasuma!

Sasa mbakaji!
 
kila dakika nasikia kukasirika sana haswa ninapoona system inamkingia Kapuya yaani wanaidhinisha dhambi alizofanya duh inasikitisha kwa kweli
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom