Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM.

Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi.

Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan mtambueni kwa Serikali ya CCM chini ya mwenyekiti wake Rais Hassan, ilani ya chama ipo, mpango mkakati upo, sera zipo.

Acheni kauli za dharau za tumsaidie Rais, azma ya Rais, Rais hayupo kwa utashi wake, acheni kuiondolea hadhi serikali na chama hadhi yake kuu, Hii serikali utambulisho ni serikali ya CCM, chini ya mwenyekiti wake Rais Hassan.

Ni wajibu wa mwenyekiti na Rais kutambua dhana ya dhamana na kutoa muongozo na maelekezo haraka, ni ujinga kutaka kumfanya Rais hicho ndie mmiliki wa nchi, na mnasahau kutambua CCM katika matamshi yenu.

The government has no room to isolate itself from mentioning CCM, CCM manifesto is running the show everywhere.

Serikali ya CCM, mawaziri acheni upofu wa kutokuitaja CCM katika kauli zenu, Acheni kauli za kuonesha kama vile CCM haipo.

Hakikisheni kauli zenu zinahuisha na rejea ya vipengele ndani ya ilani ya CCM na utekelezaji wake.

CCM hasa secretariat ya chama ni wajibu wenu, Rais akitambaliwa katika uwakilisho na ujumuishi kupitia CCM bado anabaki ni Rais, na ana wajibu wa kutambua hili pia.

Acheni kujitenga na CCM kwenye ndimi zenu.

Am out

Tukutane kwenye comments

Unapokuwa na nchi isiyo na serikali ya wananchi nchi hiyo huwa ni ya hovyo, wananchi ndio wanatakiwa waunde serikali yao kwa ajili yao kupitia vyama vyao ambavyo vinalazimika kuwaheshimu wananchi na si wananchi waviheshimu vyama, Tanzania ni nchi ya hovyo ambayo wananchi wanaviheshimu vyama hivyo hupelekea kuheshimu maovu yanayofanywa na vyama kwa ujinga wa kukilinda chama! Turudi kwenye kuijenga serikali ya wananchi na si serikali ya CCM.
 
Back
Top Bottom