watu wengine sijui wakoje.. tabia hizi si nzuri jamani...

Karibu hapa kwetu kuna kila raha
Wanawake wa kumwaga na bia za kumwaga na story kibao
Ila hatutaki engineer hapa
sasa huo ni unyanyapaaji tena wa kiwango cha juu..! poa bwana ngoja sisi tuwawezeshe tu kwenye mawasiliano yenu lakini bado mnatutenga tutafanyaje sasa..!! karibu na kwetu pia lakini kuna ubwabwa na tumemaliza ku-trouble shoot nini kilikua kinasumbua kwenye heart-lung machine...! karibu ubwabwa..!
 
Hiyo kitu hiyo heart -lung machine ahhhh unanikumbusha yule Doctor wa TF yule
Ahhh njoo kwenye crime and civil suit utatukuta tuu na ukinibishia tuu unapata civil case ya trepass

Asante kwa makaribisho ila aise nafuta msosi mbaya sahani tano hazitoshi
 
mara ya mwisho huyu dada anaetupikia alipoulizwa kutoa statistics za kua ni nani anakamata sana sahani alitoa jibu zuri tu.... ni huyu fundi apa.."mimi" sasa kama unataka tuingie kwenye ligi jongea pande hizi uoneshe uwezo..! ila tano anakula dogo mmoja hivi hapa ambae tunamuona hajui hata kula yani tunamuona hana appetite ..!
 
Mhhh hapo nitatoka
Maana kwa upande wangu nikila sana nimekula robo sahani hapo najipiga piga kifua kuwa nimekula sana
Na kama ni juice ni nusu glass hapo nasema tayari nimevimbiwa
Ahhh nyie mtaua watoto na njaa
 
Hiyo kitu hiyo heart -lung machine ahhhh unanikumbusha yule Doctor wa TF yule
Ahhh njoo kwenye crime and civil suit utatukuta tuu na ukinibishia tuu unapata civil case ya trepass

Asante kwa makaribisho ila aise nafuta msosi mbaya sahani tano hazitoshi
Huyo doctor umemfananisha banaaa
 
Mhhh hapo nitatoka
Maana kwa upande wangu nikila sana nimekula robo sahani hapo najipiga piga kifua kuwa nimekula sana
Na kama ni juice ni nusu glass hapo nasema tayari nimevimbiwa
Ahhh nyie mtaua watoto na njaa
aah wapi ndio tunawakuza kwenye mazoezi na misosi..! sasa wewe utapata alsurs na sijui utaziweka wapi..!
 
imepita kama siku mbili hivi nilikua maeneo ya dit ninakula kwa wale wanaofahamu eneo ni MANGESHO sasa nikawa nimeweka bag ya laptop kwenye kiti ambacho nilikua nimekalia..! akaja jamaa mmoja hivi.., sio kwamba nawasema hawa watu vibaya ila jamaa alikua mhaya..! alikua ameshika plate imejaa wali na maharagwe na mamboga mengine..! jamaa akamwagia bag yangu maharage yani badala ya kuomba msamaha akapita tu akaja akakaa kwenye meza hiyo hiyo niliyo kaa mimi, na aliona kua amenimwagia maharage..! ikabidi nimwambie kua jamaa "hujaona umenimwagia maharage hapa..!" jamaa akasema "wewe huoni kantini ilivyobanana hivi sasa ulitegemea mimi nitafanya nini...!" dah asee nilipandwa na hasira...! ninashukuru tu nilimwambia "asee huu sio ustaarabu rafiki yangu...!"
yani jamaa aliniharibia siku...!
sio vizuri jamani..!
vipi wewe kimekutokea kipi..? na uli react vipi...?
Mimi mipimbi ya aina hiyo huwa nachukuaga sheria mkononi kama vipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom