watu wengine sijui wakoje.. tabia hizi si nzuri jamani...

hapa nadhani njia ni kufanya kama kongosho anavyosema ni mikono tu hapa..! hehehehe auu..?

Kwa wastaarabu bado ungeonekana kama kituko
Ukiwa mlimani pale (UDSM) ukiwa mtu wa fujo fujo wanajua kuwa wewe ni engineer mtu wa mavyuma na fujo fujo
So usitake kujiweka huko wala usitake kuonekana kituko kwa wastaarabu maana ukibishana mjinga wewe ndo utaonekana mjinga zaidi
 
mzee mbona unawaonea ma engineer..? sio vizuri mkuu..! ni kwamba tu wanajua kudai haki zao vizuri.. unapogusa pananiuma mzazi..!

unaenda wapi mbona hata mualiko hutoi..! tualike basi tuandamane pamoko..!

Si naona kijiwe kimevamiwa na watu wa kutupa ngumi na mimi kutupa ngumi nishaambiwa ni kosa la jinai
Kwa fani yangu siruhusiwi kutupa ngumi ila naamini diplomasia zaidi
Karibu tuu hapa mtaa wa pili kuna wadada wamekaa kihasara hasara
 
mzee mbona unawaonea ma engineer..? sio vizuri mkuu..! ni kwamba tu wanajua kudai haki zao vizuri.. unapogusa pananiuma mzazi..!

Siwaonei ila ndo walivyo ngumi mkononi kuonyesha kuwa wao ni wababe na wana nguvu
Kumbe nguvu zao wangetumia kuzalisha zaidi na sio kupigana
maneno ni mazuri zaidi na ukiona mtu kakuchokoza nyanyuka nenda wala usitake kujionyesha kuwa wewe ni mbabe
Maana unaweza kumpiga mtu ngumi kumbe ni mbovu mwili wake ukamuua ukasababisha muandikiwa murder case bure
 
owkey mzee..! ni ushauri mzuri..! wadada wamekaaje hapo..!? kumbe kweli the finest alivyosema unaenda nyumba ndogo alikua anasema mambo flani yanayo elekea kwenye uhalisi auuuuuu...! wape hi hao madada..!
 
Achana na TF yule kimeo kile
We wakikaa kihasara si unajua mambo yao
Yaani kila kitu kiko nje nje
Usitake kujua zaidi usije ukahama mtaa wako bure uhamie huku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom