watu wengine sijui wakoje.. tabia hizi si nzuri jamani...

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
imepita kama siku mbili hivi nilikua maeneo ya dit ninakula kwa wale wanaofahamu eneo ni MANGESHO sasa nikawa nimeweka bag ya laptop kwenye kiti ambacho nilikua nimekalia..! akaja jamaa mmoja hivi.., sio kwamba nawasema hawa watu vibaya ila jamaa alikua mhaya..! alikua ameshika plate imejaa wali na maharagwe na mamboga mengine..! jamaa akamwagia bag yangu maharage yani badala ya kuomba msamaha akapita tu akaja akakaa kwenye meza hiyo hiyo niliyo kaa mimi, na aliona kua amenimwagia maharage..! ikabidi nimwambie kua jamaa "hujaona umenimwagia maharage hapa..!" jamaa akasema "wewe huoni kantini ilivyobanana hivi sasa ulitegemea mimi nitafanya nini...!" dah asee nilipandwa na hasira...! ninashukuru tu nilimwambia "asee huu sio ustaarabu rafiki yangu...!"
yani jamaa aliniharibia siku...!
sio vizuri jamani..!
vipi wewe kimekutokea kipi..? na uli react vipi...?
 
Mi nilidhani ulirusha ngumi au hauna kifundo cha ngumi?

kongosho kwa kweli nilitaka kutupa ngumi..! for sure kabisa yani..! ila ninaamini nilifanya kitu cha kistaarabu ambacho kinaweza kumsaidia hata yule jamaa yani..! ila alinikera kinyama yani..!
 
ungemwagia na wewe mchuzi wa nyama muwe droo...

teh teh teh hahaaaa asee nadhani vagi lingekua kubwa zaidi yani..! manake dah hapo ningekua nimetangaza sasa ni mimi na yeye kwenye ring....!
 
We driller kweli wewe?
Unashinda kwenye rig? Rc, diamond au rab?
Unapiga ile mijani kweli?

ngumi was the most politely response ever.

kongosho kwa kweli nilitaka kutupa ngumi..! for sure kabisa yani..! ila ninaamini nilifanya kitu cha kistaarabu ambacho kinaweza kumsaidia hata yule jamaa yani..! ila alinikera kinyama yani..!
 
imepita kama siku mbili hivi nilikua maeneo ya dit ninakula kwa wale wanaofahamu eneo ni MANGESHO sasa nikawa nimeweka bag ya laptop kwenye kiti ambacho nilikua nimekalia..! akaja jamaa mmoja hivi.., sio kwamba nawasema hawa watu vibaya ila jamaa alikua mhaya..! alikua ameshika plate imejaa wali na maharagwe na mamboga mengine..! jamaa akamwagia bag yangu maharage yani badala ya kuomba msamaha akapita tu akaja akakaa kwenye meza hiyo hiyo niliyo kaa mimi, na aliona kua amenimwagia maharage..! ikabidi nimwambie kua jamaa "hujaona umenimwagia maharage hapa..!" jamaa akasema "wewe huoni kantini ilivyobanana hivi sasa ulitegemea mimi nitafanya nini...!" dah asee nilipandwa na hasira...! ninashukuru tu nilimwambia "asee huu sio ustaarabu rafiki yangu...!"
yani jamaa aliniharibia siku...!
sio vizuri jamani..!
vipi wewe kimekutokea kipi..? na uli react vipi...?

pole kwa madhila yalokukuta.
Ila, kuna uhusiano kati ya ubaya wake na alichokufanyia?
 
We driller kweli wewe?
Unashinda kwenye rig? Rc, diamond au rab?
Unapiga ile mijani kweli?

ngumi was the most politely response ever.

jumlisha ile hasira yani ningekua ninaongelea selo ndugu yangu..! ningeimiss jf..!
 
Pole d.

Watu wanatofautiana sana. Kuna mtu neno samahani ni msamiati mgumu sana kwake..yaan anakukosea afu haombi samahani.
 
pole kwa madhila yalokukuta.
Ila, kuna uhusiano kati ya ubaya wake na alichokufanyia?

yani jamaa hata simjui yani..! na unajua kwa ukweli hicho ndio kimenishangaza sana..! jamaa simjui wala yeye hanijui kama sio kutafuta ugomvi ilikua ni nini..? watu wengine wakifanyiwa mambo ya ajabu wanalalamika lakini huwa mara nyingi wanakua wanayatafuta wenyewe..! sasa kama ningeamua kurusha ngumi kama alivyo sema kongosho..! si mambo huenda yangekua makubwa zaidi..! mimi hata simjui..! na nilikula haraka ili niondoke nisije nikapandwa na hasira nikafanya jambo lingine baya zaidi..!
 
Nadhani jamaa alikudharau akajua huwezi kumfanya kitu, kwanza hakuomba samahani na pili akarudi kukaa meza hiyo hiyo uliyopo kwa jinsi asivyokuogopa!

Pole sana driller, nadhani utakuwa unachimba RC wewe sidhani kama diamond drilling unaiweza!
 
now i get the feelings kua kweli jamaa alinidharau..! daaah..! ila kutupa mkono ingekua ni sltn pale kweli..!?
 
afadhali ulimpuuza. Mijito mingine ina stress zao, sasa inataka kuwafrustrate na wengine, wakiona hujakasirika wanaumia zaidi.
 
imepita kama siku mbili hivi nilikua maeneo ya dit ninakula kwa wale wanaofahamu eneo ni MANGESHO sasa nikawa nimeweka bag ya laptop kwenye kiti ambacho nilikua nimekalia..! akaja jamaa mmoja hivi.., sio kwamba nawasema hawa watu vibaya ila jamaa alikua mhaya..! alikua ameshika plate imejaa wali na maharagwe na mamboga mengine..! jamaa akamwagia bag yangu maharage yani badala ya kuomba msamaha akapita tu akaja akakaa kwenye meza hiyo hiyo niliyo kaa mimi, na aliona kua amenimwagia maharage..! ikabidi nimwambie kua jamaa "hujaona umenimwagia maharage hapa..!" jamaa akasema "wewe huoni kantini ilivyobanana hivi sasa ulitegemea mimi nitafanya nini...!" dah asee nilipandwa na hasira...! ninashukuru tu nilimwambia "asee huu sio ustaarabu rafiki yangu...!"
yani jamaa aliniharibia siku...!
sio vizuri jamani..!
vipi wewe kimekutokea kipi..? na uli react vipi...?
Kwahiyo???
 
unaposema mhaya unataka kumaanisha nini mkuu....

mimi hua nawaona kama ni watu ambao wanajitahidi sana kuonesha ustaarabu ila huyu alipoteza hiyo kitu..! akaonyesha kua yeye ni mbovu tu..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom