Watch Dr. Kigwangalla Live on Star TV - Asubuhi Hii!, "Makundi Ndani ya CCM!, Hayaepukiki!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,504
113,618
Wanabodi,

Wale wenye access na Star TV, please watch, Mbunge wa Nzega, Dr. Kingwangala, yuko live kwenye kipindi cha Tuongee asubuhi na Star TV!.

Mada kuu ni makundi ndani ya vyama vya siasa!.

Dr. Kigwangala ameanza kwa kueleza kuwa makundi ndani ya vyama vya siasa hayaepukiki, na kutoa ufafanuzi wa kitaalamu kuwa makundi ni "power blocks" kwa lengo la kushika madaraka!.

Endelea.

Thanks.

Pasco.
 
Amekiri ana kundi la wale wanaoamini katika "uzalendo", "uadilifu" na "uwajibikaji" dhidi ya makundi ya "ufisadi" na "uroho wa madaraka!".

Pasco.
 
  • Thanks
Reactions: jme
anasema hana makundi ila ana marafiki


achana na mtu ayepata ubunge kwa aksante makamba,yeye mwakani aanze kuanga wananchi wa nzega.tunarudisha jembe letu la zamani,hata huo urais anapoteza muda tu.huna kazi nyingine usimsilize wewe au kama mulivyoambiwa akili za mbayuwayu?
 
Habari wana jamvi,akiwa startv amesema atagombea urais 2015 lakini ndani ya ccm kuna makundi tena makubwa sana,ila yeye atagombea urais bila kujali uwepo wa makundi hayo
 
Wa al Shabab unataka kuleta ugaidi nzega kisa hela ya kahawa kila siku au ni jembe kwa lipi ??
 
HK bhana haya wacha tukuone

Nimemshauri Dr.kigwangala na wagombea wengine wowote badala ya kuzunguka wanatangaza nia za kugombea uchaguzi ujao wajikite kwenye issues zinazosumbua jamii yao mfano wao ni wabunge wanaisimamia VP na kuishauri kupitia hoja binafsi juu ya suala la uchumi wa nchi kuonekana unakuwa huku umaskini haupungui??? Nini kifanyike??? Udhaifu uliomo kwenye Sera ya 1996 ya uwekezaji, Sera ya ajira 2008, Sera ya elimu 1998, Sera ya vijana 2007, mkukuta11, mkataba wa Afrika mashariki wa 2010 wa common market n.k then jamii itaona wanafaa kuwa viongozi wetu usiwalazimishe wananchi kwamba Wewe upaswa kuwa kiongozi Bali tengeneza mazingira ya kuiaminisha na kuaminika katika jamii au kampuni au taasisi
 
Asichokielewa Hamis ni kwamba ndani ya ccm kuna kundi moja tu la wanamtandao vingine si makundi bali ni vikundi. Hamis aelewe kwamba wanamtandao hawana ugomvi wala tofauti zozote za kimsingi kinachofanyika ni mbinu tu na michezo ya kisiasa. Yeye ni daktari inabidi ajifunze zaidi siasa za kimkakati au amchukue na ndugulile wakapate uzoefu kwa Prof mwakyusa, huu ni ushauri tu
 
Namshukuru Mungu kabisa kwa kukikosa kipindi cha leo, kumbe alikuwepo HK?
Huyo H. Kigwangwala kapewa mapesa na Membe yaani Zile pesa za Gadafi ambazo Membe kazificha kwenye Mahandaki ndio amezimega kidogo na kuwapatia watu wake akina Mwandosya, sita, Dialo,HK na wengineo ambao wapo busy kwa saa 24 kumchafua Lowasa kwenye Mitandao, Hivi sasa Membe wajanja wamemgeuza Buzz la kuchuna Gia ya kumwingia imekuwa ni kumpiga vita Lowasa tu, ukienda na Gia zingine hatoi pesa,lakini ukienda na mbinu za kumchafua Lowasa lazima uambulie dola za Gadafi, HK na Boss wake Membe ni Shiiiiiiida ! .
 
Amekiri ana kundi la wale wanaoamini katika "uzalendo", "uadilifu" na "uwajibikaji" dhidi ya makundi ya "ufisadi" na "uroho wa madaraka!".

Pasco.
anakundi wakati na yeye anasema anampango wa kuchukua form ataweza maziki wa rafiki yako?
 
Kiwangala asitake kupimana ubavu na lowasa ,lowasa ni level nyingine labada ajaribu kwa akina membe,wasira
 
Habari wana jamvi,akiwa startv amesema atagombea urais 2015 lakini ndani ya ccm kuna makundi tena makubwa sana,ila yeye atagombea urais bila kujali uwepo wa makundi hayo

Kumbe akina DEOGRATIUS KISANDU nchi hii wapo wengi!
 
Huyu Dr. Kigwa, namfahamu kweli ni mpambanaji na maadam anafahamu kuhusu power blocks ambazo zinataka kumuengua hapo alipo, ameamua atapambana, na maadam vita imeishatangazwa, tusubirie mpambano.
P
 
Huyu Dr. Kigwa, namfahamu kweli ni mpambanaji na maadam anafahamu kuhusu power blocks ambazo zinataka kumuengua hapo alipo, ameamua atapambana, na maadam vita imeishatangazwa, tusubirie mpambano.
P

Kigwangalla sio mpiganaji, bali ni limbukeni mwenye madaraka na vijisenti vya kubadili mboga. Anachotambia sio elimu bali ni ushirikina.
 
Back
Top Bottom