TV Program Alert: Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo Live on Star TV - Watch Live On Line!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,506
113,627
Wanabodi,
Kwa vile hili ndio bandiko langu la kwanza kulianzisha kwa mwaka huu humu jf, naomba nianze kwa kuwatakia Heri ya Mwaka Mpya.

Kwa wenye access na Star TV, Mkurugenzi wa Jamii Forums, Mkuu Maxence Melo, atakuwa Live on Star TV, kuanzia saa 2:00 asubuhi hii kwenye kipindi Jicho Letu Ndani ya Habari.

Pleaze watch.
Star TV pia iko live online kwa ku download

Kwa kwa wale wavivu ku download app, mnaweza kualia live kupitia
Channel yangu


Karibuni.

Paskali.
 
Back
Top Bottom