jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
kwa mfano walimaji wa matunda wangewekewa kiwanda cha kutengeneza juice!kwa mfano korogwe kama sikosei kunakiwanda ambacho kilikuwa kiwe cha kutengeneza juice sijui iliishia wapi!
Ni kwamba mama suala la uvivu lipo pale pale pamoja na suala la kutokuwa na strategies na Rushwa pamoja na ubadhilifu ukichanganya vyote hivi inakuwa ni mwiko kuulaani umaskini!
kwa mfano Shinyanga na Mwanza kulikuwa na vyama vya ushirika sasa huvi vipo kwenye magogo yaani vianasuasua ile mbaya hapa namaanisha SHIRECU na NYANZA!ukiangalia source ni ubadhilifu hivi vyama viliwasaidia wakulima wa pamba enzi zile kwa kununua mazao yao!
ki ukweli kuna cycle hapo hivyo basi kila mtu lazima ajikomit kuondoa umaskini!
Any way tusije tukahama kwenye maudhui ya thread!Maana thread inaongelea kuzagaa kwa wtz nje!
Serikali ilkuwa bize ikiuza Taifa badala ya kuwaandaa na kuwasaidia na kuwapa dili wananchi chini ya mipango ya EPZ NA AGOA.
Sana sana waliochungulishwa dili hizo ni wahindi na mafisadi wengine!