Wakenya wanaoishi nje ya nchi hutuma trilioni 10 nchini kwao, Watanzania hutuma bilioni 700, tukifata ushauri wa Lowassa kuhusu elimu, tutafikia Kenya

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,662
Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani.

Katika kuenzi maisha na falsafa za Lowassa, ni vyema tiwekeze katika elimu ya watamzania, na tufungue milango kwa watanzania kwenda nje ya nchi kusaka fursa. Yale maswali yasiyo na maana kwa wanaotaka kwenda nje ya nchi yaondolewe.

Trilioni 10 wanazotuma wakenya nchini kwao ni sawa na robo ya bajeti ya Tanzania ya mwaka mzima. Fedha hiyo ikiingia, uchumi unachangamka.

Hatujachelewa, tuwekeze kwa watanzania katika elimu inayokidhi mahitaji ya soko. Kama ni wanafunzi wa DarTech, wapate elimu ya viwango vya juu, na wale wanafunzi bora wapate mafunzo kwa vitendo huko China, walau miaka miwili. Wale wa SUA waende katika nchi zilizofanikiwa katika kilimo na wakafanye mafunzo kwa vitendo katika vyuo bora vya huko.

Watu wa Wizara ya elimu, wasomi wa vyuo vya sayansi, waende china wakauchimbe mtaala wa elimu wa nchi hiyo, wajue kwa nini umejibu mahitaji ya jamii na sisi tunakwama wapi. Mtaala ufanyiwe analysis na vyuo vikuu bora vya nje ya nchi, ili waupime dhidi ya maslahi ya soko. Wasikae watu wa wizarani waliosoma hadithi za Juma na Roza wakaachiwa kuamua hatma ya kizazi cha artificial intelligence.

The same applies kwa masomo yote ya sayansi, na mengineyo ili tuwe na cream bora kabisa ya taifa hili ikituwakilisha nje ya nchi hii.

Kwa vijana wa sasa, wanaweza kusema Baba Levo na Mwijaku ndio role models wao, kumbe ni watu wa hovyo tu.

R.I.P Leigwanani Edward Ngoyai Lowassa, waliofanya attempts kadhaa juu ya uhai wako, wanakuja kukuombea upumzike kwa amani.

Screenshot_20240212-205455.jpg
 
Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani.

Katika kuenzi maisha na falsafa za Lowassa, ni vyema tiwekeze katika elimu ya watamzania, na tufungue milango kwa watanzania kwenda nje ya nchi kusaka fursa. Yale maswali yasiyo na maana kwa wanaotaka kwenda nje ya nchi yaondolewe.

Trilioni 10 wanazotuma wakenya nchini kwao ni sawa na robo ya bajeti ya Tanzania ya mwaka mzima. Fedha hiyo ikiingia, uchumi unachangamka.

Hatujachelewa, tuwekeze kwa watanzania katika elimu inayokidhi mahitaji ya soko. Kama ni wanafunzi wa DarTech, wapate elimu ya viwango vya juu, na wale wanafunzi bora wapate mafunzo kwa vitendo huko China, walau miaka miwili. Wale wa SUA waende katika nchi zilizofanikiwa katika kilimo na wakafanye mafunzo kwa vitendo katika vyuo bora vya huko.

Watu wa Wizara ya elimu, wasomi wa vyuo vya sayansi, waende china wakauchimbe mtaala wa elimu wa nchi hiyo, wajue kwa nini umejibu mahitaji ya jamii na sisi tunakwama wapi. Mtaala ufanyiwe analysis na vyuo vikuu bora vya nje ya nchi, ili waupime dhidi ya maslahi ya soko. Wasikae watu wa wizarani waliosoma hadithi za Juma na Roza wakaachiwa kuamua hatma ya kizazi cha artificial intelligence.

The same applies kwa masomo yote ya sayansi, na mengineyo ili tuwe na cream bora kabisa ya taifa hili ikituwakilisha nje ya nchi hii.

Kwa vijana wa sasa, wanaweza kusema Baba Levo na Mwijaku ndio role models wao, kumbe ni watu wa hovyo tu.

R.I.P Leigwanani Edward Ngoyai Lowassa, waliofanya attempts kadhaa juu ya uhai wako, wanakuja kukuombea upumzike kwa amani.
View attachment 2902031
Muhimu zaid utulivu na Amani ya Tanzania haina kifani ulimwenguni pote 🐒

ukicheki kwenye list wote usalama na amani kwao ni 0. Sababu kubwa ya chafuko zao ni hiyo mipasenti ya dollar 😜

Si ni afadhalli nisiwe na pesa lakini nina Amani

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Nchi kama ya Kenya walifanya juhudi za makusudi kupeleka vijana nje.

Huku nchi kama Uganda, Rwanda, Somalia, DR Congo athari za vita vya wenyewe ndani ya nchi zao zilifanya vijana kutafuta fursa nje kupitia ukimbizi n.k

Mafaniko ya Kenya kupeleka vijana nje bila kuwapo vita nchini mwao. Tanzania ilibania na kupeleka vijana nchi za kijamaa zaidi huku Kenya ikipeleka nchi za Marekani ya Kaskazini na Ulaya Magharibi.

HISTORIA YA KENYA YA MWAKA 1959 INAYOIGWA HADI LEO 2023 KUIFANYA KUWA NA DIASPORA KUBWA :

DIASPORA

Friends salute Mboya’s American airlifts 50 years ago​

Friends salute Mboya’s American airlifts 50 years ago

Written by New African
  • PublishedJanuary 28, 2014
FacebookTwitterEmailShare
Between 1959 and 1963, Tom Mboya, the Kenyan politician and presidential aspirant, organised the airlifting of 770 young men and women from Kenya and nine other East, Central, and Southern countries to go and study in the USA and come back to shape the future of their countries. Fifty years on, the friends of Mboya pay homage to his patriotic work, reports Leslie Goffe from New York.

Kenya would have struggled to run itself in the early days, after the British lowered their Union Jack and left 50 years ago, had Tom Mboya, the Kenyan politician, not convinced US charities to give hundreds of young Africans – among them President Barack Obama’s father – scholarships to study at American universities as part of an educational initiative that became known as “Operation Airlift Africa”.
“These are men and women who will help build our nation,” Tom Mboya said of the students chosen to participate in the Airlift Africa initiative, which began in 1959 and ended as Kenya became independent in 1963. “My efforts to help African students to study overseas are based on my conviction that our people need higher education.”
Airlifted to America aboard specially chartered BOAC (British Overseas Airways Corporation) airplanes, the students were trained in the US to become everything from engineers and economists to agronomists and civil servants. They were really preparing, though, to become the future leaders of Kenya and fill positions in government and industry the British would soon vacate.
According to a University of Nairobi study, more than half of the parliamentarians, top civil servants, and leaders of industry in post-independence Kenya were Airlift Africa alumni.
Among the best-known was George Saitoti, who became the vice-president of Kenya and died on 10 June 2012; Florence Mwangi, the first African woman physician in Kenya; Joe Barrage ‘Joe B’ Wanjui, an industrialist and CEO of East African Industries (Unilever); and Wangari Maathai, the environmentalist and political activist who won the 2004 Nobel Peace Prize.
President Obama’s father, Barack Obama (Senior), also received funding from Tom Mboya’s Airlift Africa. But he was not among those airlifted to America. Obama Snr had applied to the programme but was rejected because his grades were too low.
He made his own way to the United States with funding from a wealthy American family. But once Obama Snr was at a university in Hawaii, where he met and married Stanley Ann Dunham and had the future President of the United States, Tom Mboya agreed to assist him with tuition money and living expenses.
President Obama is proud of the part his father played in Airlift Africa. In books and speeches, he has spoken of how grateful he was to the Kennedy family for contributing money to bring African students to America – otherwise his mother and father would not have met and he would not have become America’s first black president. “The Kennedys decided we’re going to do an airlift,” President Obama said in a 2008 speech. “We are going to go out to Africa and we are going to start bringing young Africans over to this country… And this young man named Barack Obama got one of those tickets and came over to this country.”
There is no doubting that Tom Mboya’s airlifts were an important initiative, both for the future of the USA and the future of Africa. Thanks to Mboya, Kenya did not have to depend entirely on white expatriates to run the country’s Civil Service when it became independent in 1963, as Ghana had to endure when it became independent in 1957
 
MICHANGO YA WANAVIJIJI NCHINI KENYA YA HARAMBEE KUPELEKA VIJANA NJE, WANAVIJIJI KUKOSA ROHO YA CHOYO KUTOA MICHANGO

CITATION ON

1707787564517.png

DR. JULIUS GIKONYO KIANO
B.A. (Antioch), M.A. (Stanford) 'Ph.D. (California, Berkeley),
, " I
Dr. Julius Gikonyo Kiano is a perfect blend of an intellectual and a professional politician. Julius Cikonyo Kiano was born in June, 1926 in Garhiga Village,
Kanyenyaini Location, Murang'a District (then Fort Hall District) of Central Province.

His parents Jonathan Kiano and Damaris Wanjiru Kiano, like many African rural families at the time were not rich. Jonathan was 'an informal trader having worked for missionaries' in Nairobi and converting to Christianity.'

But he appreciated the value of education for his children. So
Julius wentto school at the early age of eight. He quickly
distinguished himself as a brilliant student and it has
been that intellectual brilliance that has carried him through.

Julius Gikonyo Kiano went to African Gcvernment School of Kagumo in 1939. He was admitted 'to the prestigious Alliance High School in -1942.In Alliance he performed very' weli and passed. 'He was admitted to Makerere University College; though He was 'reluctant as he had already made up his mind that he must study for a degree and not a diploma which was the highest qualification Makerere could offer.

However, he eventually went to Makerere on the advice of Mr. Mbiyu Koinange and Mr. James Gichuru (former Cabinet
Ministers) whom he met at Githunguri Teachers Training
College where he taught for two months.

At Alliance he continued his scouting hobby which he
had started at Kagumo and became secretary to the
school troop. More pertinent he became the School Librarian in his final year, 1945 and editor of the Saturda evening paper which was a hand written weekly by the students.

This role of editor opened up a new aspect in his life: political interest. It is at this time that Mr. Eliud Mathu, Dr. Kiano's teacher at Alliance was appointed to
represent Africans at the Legislative Council (Legco)
alongside Rev. Leonard Beecher.

As the editor of the student paper Julius questioned the validity of a white man's representation of African interests in the LEGCO.
He was nearly kicked out of Alliance.

In Makerere, he constantly yearned for a university
degree and read biographies of eminent African Americans who had made it in academia and public life like Dr. Aggrey and Booker T. Washington. He also read Crisis, a magazine published by the National Association the Advancement of Coloured People in America,(NAACP) -Which carried addresses of Black colleges in
the U.S.A. He applied and was admitted at Pioneer Business Institute in Philadelphia. But he had no money.

It was then that for the first time a Harambee was organized in this country for purely educational purposes. The Kenya African Traders and Partners
Association (KAFTA) led by Mr. Mwaura Ngoima and
Mr. Charles Rubia, and others raised the money.

From that time, Dr. Gikonyo Kiano became a staunch believer in Harambee, especially for educational purposes and has tirelessly worked throughout his life to open up opportunities for further education for
Kenyan young people. His commitment to the promotion
of education is a lifelong undertaking because as he says:- "I was a product of the early events of Harambee".


Julius joined Pioneer Institute in 1948, and then shortly thereafter, Stores College in West Virginia. The following year he got a scholarship to Antioch College, Ohio, where he obtained a Bachelor's Degree in Economics and Political Science in 1952.


Before he left Kenya for the U.s.A., Dr. Gikonyo Kiano had heard a word of advice from a senior Kenyan scholar - Mr. Mbiyu Koinange, the first Kenyan to get an M.A.


At Antioch, the student work programme led him into ,the UN system where he worked in the Trusteeship Commission dealing with colonies all over the world.

( The Head of Department at the UN. was none other than Dr. Ralph Bunche who went on to become the Under Secretary of the United Nations and a winner of the Nobel Peace Prize. Kiano together with others would later
establish a school in honour of Dr. Bundle.

Thanks to his academic excellence, Julius won university
1 st class honours fellowship to Stanford University, California for
a Master's degree in political science and public administration.

From Stanford he went to the prestigious University of Caiifornia at Berkeley where he 'taught' as " he worked on his Ph.D., which he obtained in 1956. Thus he became the first Kenyan to get a Ph.D. His doctoral
"thesis was critical of the idea of a Central and Eastern
federation which he argued was a delaying tactic for the
independence of the African countries concerned and a
tool for the continued European domination of the region.

I .This showed that Dr. Kiano was already politically alert.
:.Indeed, he spent much of his spare time explaining to
-groups in the U.s. that the Mau Mau uprising which had
broken out in Kenya was not a tribal uprising, when he had encounter with the British Counsul-General in California:' '.

On his return horne, though armed with a Ph.D., he was
Not employed at the then Royal Technical College, the
predecessor or this University until his cousin Mr. Muchohi Cikonyo who was a politician personally confronted the Governor Sir Evalyn Baring, This made him the first African lecturer in what was to become the University of Nairobi.

Even after employment, the
problem of where his children would go to school in a
racially segregated Kenya came up. 'It was then that Dr.
Kiano and other uncategorised staff on the ColIege' got
together to establish Hospital Hill Primary School. Today,
the school is one of the best schools in Nairobi.

Julius taught economics and constitutional law, However,
, he soon plunged into the politics of the liberation of this
country when in 1958 he was elected to the Legislative'
Council defeating his former teacher Mr. Eliud Mathu.
His campaign' platform was simple: ';The British must
go, it is time for total independence".

As a Member of Parliament, he travelled a lot. In one of
those visits abroad he met Senator J.F. Kennedy,
Chairman of the Senate Sub-Committee on Africa And

8
Idea of helping young Africans go to the _U.S.A'. President was enthusiastic about it. The seed of the "airlifts" had been sown. Dr. Kiano advised Mr. Tom Mboya to take up the issue with Kennedy. It worked.


Dr. Kiano also met Dr. Martin Luther King and broached
the idea. Dr. Martin Luther King gave Dr. Kiano six scholarships right away for Kenyan youths.
From 1960 to 1979, Dr.Julius Gikonyo Kiano was steadily
elected to Parliament and held many ministerial portfolios.

He was instrumental in bringing UNCTAD IV to Kenya in 1974 and he also signed the first expanded
Lome Convention in 1975 on behalf of Kenya as the
Minister of Commerce and Industry.

In 1993, Dr. Kiano was a founder member of the Kenya United States Association whose main objective is to promote educational opportunities for Kenyans apart from, of course, also promoting business linkages.

He is the current Chairman of the Association. He is the local
Chairman of an ad-hoc committee which is looking into a formal institutional framework between Kenyan Universities (both public and private) and the New York University System.

Dr. Kiano has occasionally given lively lectures to students in this University. He is currently a member of this University's Council, and until about two weeks ago, he was the Chairman of Kenya Broadcasting
Corporation.

The above shows that Dr. Kiano has made outstanding
contribution to the development of this nation and we
are proud to honour him with the degree of Doctor of
Letters (honoris causa).
 
Hapo Hakuna uhusiano na shule. Wakenya wengi wapo nje ya nchi Yao kulinganisha na watanzania.
Kama uko kwenye akili yangu, uchumi mzuri wa kenya ndio mchango mkubwa kwa wananchi wake, yaan wananchi wana kipato kizuri kwahiyo inakuwa ni rahisi sana kumudu gharama za kuvuka, wote tunaelewa ili uvuke kwenda nchi zilizoendelea inaambatana na fedha nyingi bila hivyo hauvuki.
 
MACHIFU WA KENYA KUPELEKA VIJANA NJE MWAKA 1926

Education: Dancer's Son​

Monday, June 24, 1935
1707788382668.png

Photo : Peter Mbiyu wa Koinange
power behind the throne and one of the key decision makers in the formative years of the young Kenyan nation.

When Daniel arap Moi assumed the presidency following Kenyatta's death in 1978, Mbiyu was demoted to the less visible Ministry of Environment and Natural Resources and in 1979 he lost the Kiambaa seat to Njenga Karume.

Upon the end of his career in politics. Mbiyu became chairman of the Kenya Salt Company.

Mbiyu died after suffering a heart attack, 2 Sep 1981 at Nairobi Hospital., He was 74 years old.


More info :
Mbiyu Wa Koinange, which means Mbiyu, son of Koinange, is the son of Koinange Wa Mbiyu, which means Koinange, son of Mbiyu.

In Bantu "koinange" means "dancer," Koinange Wa Mbiyu, chief of 800,000 Kikuyu tribesmen in British East Africa's Kenya Colony, was a good dancer in his youth but he never learned to read & write. Last week Mbiyu Wa Koinange, who will soon succeed his aged father as chief of the Kikuyus, got his A. B. degree at Ohio Wesleyan University in Delaware, Ohio.

Mbiyu Wa Koinange (friendly classmates call him Peter) thinks he is about 26 years old. That is the age of a missionary's son he played with as a child.

He came to the U. S. in 1927 because a Scottish pedagog told him it was cheap and had good Negro preparatory schools. His greatest handicap at Virginia's Hampton Institute (for Negroes) was his ignorance of English. Baffled by Bantu, Hampton professors could not help him much. But when he departed after four years a classmate said, "A noble person goes on his way, conscious of his nobility."

Trouble with English kept his marks low at Ohio Wesleyan for two more years, forced him to bolster his scholarships by cooking for a professor.

Then, mastering English, he made money by lecturing on Africa before Ohio lunch clubs and church groups, finished his course with a creditable record.

A devout Episcopalian, he has been active in Y. M. C. A. and student welfare work, once served as president of Cosmopolitan Clubs in 17 Ohio colleges including his own.
Peter Koinange's worst fright came during his first cold spell, in Ohio. Numb, he thought he was growing paralyzed. Of U. S. phenomena he has been most im-pressed by the Statue of Liberty, skywriting, Negro spirituals, politicians. He took readily to collegiate sweaters, rejected knickers as undignified.

Having specialized in sociology, he hopes to make his people yearn for knowledge. Now the Kikuyu's prime ambition—which he achieves only by years of prying and pulling with coils of wire, disks of wood, cane pegs, gourds—is to make his ear lobes touch his shoulders
 
Tanzania ilibania na kupeleka vijana nchi za kijamaa zaidi huku Kenya ikipeleka nchi za Marekani ya Kaskazini na Ulaya Magharibi.
Ni vizuri ikakumbukwa kwamba mitazamo tofauti ya milengo ya kisiasa kati ta Tanzania vs nchi za magharibi ilichangia kutopeleka vijana wengi kwenye hizo nchi. Na hata hao wachache tuliopeleka, kuna wengine wao waliishia kuwa frustrated na mashirika ya kijasusi ya hizo nchi kwa kuwahisi kuwa ni wapelelezi wa nchi za mashariki!
Kuvunjika kwa kambi ya mashariki na kupelekea kuporomoka kwa uchumi wa nchi hizo kulichangia pia kuvurugika kwa hali ya kiuchumi ya watanzania waliokuwa kwenye hizo nchi.
Watanzania wengi wameanza kwenda nchi za magharibi siyo muda mrefu uliopita, kwa hiyo hatuwezi kujilinganisha na kenya ambao wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda mrefu.
Jambo ninaloweza kupendekeza kwa serikali ni kupunguza gharama za makato zinazotozwa kwa pesa inayotumwa na diaspora ili kuwapa hamasa ya kutuma zaidi.
 
Katika nchi ambayo ina wasomi wengi sana nje ya nchi, ni Kenya. Kenya wamewekeza katika elimu ambayo inajibu mahitaji ya soko la dunia, wasomi wao wanakubalika sana duniani.

Katika kuenzi maisha na falsafa za Lowassa, ni vyema tiwekeze katika elimu ya watamzania, na tufungue milango kwa watanzania kwenda nje ya nchi kusaka fursa. Yale maswali yasiyo na maana kwa wanaotaka kwenda nje ya nchi yaondolewe.

Trilioni 10 wanazotuma wakenya nchini kwao ni sawa na robo ya bajeti ya Tanzania ya mwaka mzima. Fedha hiyo ikiingia, uchumi unachangamka.

Hatujachelewa, tuwekeze kwa watanzania katika elimu inayokidhi mahitaji ya soko. Kama ni wanafunzi wa DarTech, wapate elimu ya viwango vya juu, na wale wanafunzi bora wapate mafunzo kwa vitendo huko China, walau miaka miwili. Wale wa SUA waende katika nchi zilizofanikiwa katika kilimo na wakafanye mafunzo kwa vitendo katika vyuo bora vya huko.

Watu wa Wizara ya elimu, wasomi wa vyuo vya sayansi, waende china wakauchimbe mtaala wa elimu wa nchi hiyo, wajue kwa nini umejibu mahitaji ya jamii na sisi tunakwama wapi. Mtaala ufanyiwe analysis na vyuo vikuu bora vya nje ya nchi, ili waupime dhidi ya maslahi ya soko. Wasikae watu wa wizarani waliosoma hadithi za Juma na Roza wakaachiwa kuamua hatma ya kizazi cha artificial intelligence.

The same applies kwa masomo yote ya sayansi, na mengineyo ili tuwe na cream bora kabisa ya taifa hili ikituwakilisha nje ya nchi hii.

Kwa vijana wa sasa, wanaweza kusema Baba Levo na Mwijaku ndio role models wao, kumbe ni watu wa hovyo tu.

R.I.P Leigwanani Edward Ngoyai Lowassa, waliofanya attempts kadhaa juu ya uhai wako, wanakuja kukuombea upumzike kwa amani.
View attachment 2902031
Nchi zinazotuma kuanzia trilion 1 ni zile zinazoruhusu uraia pacha siyo kwa sababu ya Elimu. Somalia na Rwanda hazina wasomi wengi kama Tanzania, lakini wanapochukua uraia pacha wanakuwa na advantages nyingi kuliko watanzania wasiokuwa na uraia pacha pamoja na elimu zao.
 
Tanzania watu kuchangia harambee ya masomo au scholarship hawana.

Ila michango ya mazishi, jando, unyango na harusi hiyo waitaifanya.

Ukisoma historia ya Kenya harambee kuchangia masomo imeanza huko tangu miaka ya 1920 na utamaduni huo upo hadi leo 2024 pamoja ya kuwa Kenya ina vyuo vya elimu ya juu zaidi ya 50 lakini raia bado wanachangishana kupeleka vijana nje.

Tanzania wizara husika nazo ni nzito kutafuta nafasi nje ya nchi vijana kwenda kujiendeleza kimasomo na kiujuzi katika fani zote. Ule unyimi ulioanzia vijijini unaoitwa 'kulogana' kwa kutokuwa na moyo wa harambee mtoto mmoja wa kijijini atoke una madhara hadi ngazi za mawaziri, makatibu wakuu, mabosi na ndiyo maana diaspora idadi ni ndogo sana.
 
Somalia na Rwanda

Hawa Somalia, Rwanda, Ethiopia DR Congo, Uganda, South Sudan, Nigeria, Ghana n.k vita na mfululizo wa mapinduzi ya kijeshi ndiyo imesababisha kuwa na diaspora kubwa nje.

Tanzania na Kenya tunafanana hakuna vita wala machafuko makubwa ya uchaguzi wala mapinduzj ya kijeshi. Ila kama nilivyoelezea historia na tamaduni za nchi moja ina utamaduni wa harambee nyingine haina ni kuwekeana vigingi vinavyoitwa roho mbaya kuanzia vijijini hadi mijini kuzuia fursa watu kutoka nje ya nchi.
 
Tanzania shida hata kuwapa watu passport TU no kama unapewa uhai wa kwenda mbinguni
Tatizo sio kitoka

Tatizo ni wanafanya bunu wakiwa huko nje?

Mmeshaanza kwamba wengine tunawachangia hadi michango ya matibabu kutokea bongo?

Wengi ni kandya, fiksi ba hawapendi kwao
 
Muhimu zaid utulivu na Amani ya Tanzania haina kifani ulimwenguni pote

ukicheki kwenye list wote usalama na amani kwao ni 0. Sababu kubwa ya chafuko zao ni hiyo mipasenti ya dollar

Si ni afadhalli nisiwe na pesa lakini nina Amani

R.I.P Laigwanan comrade ENL
Kakudanganya nani Tz kuna amani kuliko pengine duniani? Tz kuna utulivu amani hakuna kwa sbb haki hakuna
 
Back
Top Bottom