Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,125
Ndoa za kitapeli zimekuwa nyingi kwa sasa nchini ambapo wazee kutoka Ulaya na maeneo mengine wamejikita kuwaoa au kuolewa na ndugu zetu.
Wengi wanakwepa sheria za nchi za mgeni kuishi au kufanya kazi Nchini.Baadhi wanakwepa kodi ila wengi watakuwa wahalifu wanaosakwa huko kwao wameamua kujificha Tanzania.
Tulioishi nje tunafahamu hii mikakati yakukwepa sheria za ndani. Lakini kwa tuna athari kubwa zaidi kwasababu wananchi wetu niwakatimu sana bila kujua dunia haina ukarimu.
Wananchi chukueni taadhari na hawa wageni raia wa Nigeria, Ghana na Mataifa ya magharibi wanaoishi na wototo wenu. Kama siyo waalifu basi niwakwepa kodi. Tusanuke.
Unaweza ukaishi na gaidi au muuaji bila kujua....tuwachunguze hawa watu ikiwemo kuwaripoti kwenye mamlaka husika. Lakini pia vyombo vya dola acheni kuwaogopa wazungu ni wepesi sana kutumika kutengeneza mikakati ya uhalifu. Nimeona rafiki yangu alivyopigwa kitapeli, anakuja kushtuka tapeli yupo south Afrika anakula raha.
Mtanzania akiambiwa ni mwanahisa wa kampuni anafurahia kumbe amewekwa kufanikisha kufungua kampuni na wakimaliza kutumia details zake hakuna cha faida wa gawio.....labda wakuajiri kwa low pay. Mwanahisa asiye na say