Watanzania shangilieni; mwaka 2020 Mungu atatenda muujiza!

Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yawachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
View attachment 938586
Hivi ile bomoa bomoa ya dar iliishia wapi?
 
Nimeipenda makaka yako ndugu, ni ukweli mungu atatenda miujiza, pengine hata kabla ya 2020.
 
Niliposoma hii paragraph nikagundua ninachosoma ni pumba za mtu mjinga au ni mtu anayejua ukweli lakini ameamua kuwa mpumbavu.

''Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana''.

Hao watu wasiopungua 100 ulifanya wapi na lini research ukagundua. Ninajua mjinga ni mtu aneyetaja tu namba bila hata kujua ukubwa au udogo wa namba. Mpumbavu ni yule anayejua namba na ukubwa wake lakini anaamua kupotosha.

Tanzania kuna vituko!
Basi kama ni hivyo wewe ndio kituko wa kwanza toka kuumbwa kwa Tanganyika hadi kuwa Tanzania
 
Mwenye Enzi Mungu adhihakiwi walahi
Long may he reign JPM walahi
Maadui zake wote wameangamizwa na mkono wa kuume wa Mwenye Enzi Mungu mwenyewe walahi
Fanya risech likes zako na za salary slip ndio ujue mungu hunena kupitia watu
 
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yawachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
View attachment 938586
Twende na Membe 2020....JIWE OUT.
 
Bla bla bla, wahuni wachache wanavyo piga domo humu unaweza fikiri nchi inaiungua moto kumbe walaaa. Watu tunapiga kazi tuko na amani tele. Asante Mungu umetupa Rais mchapa kazi.
 
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yawachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
View attachment 938586
Halafu mheshimiwa umefanana sana na huyo bint anayelia!
 
Ndoto za mchana. Ushindi wa 2020 ni mara mbili ya Ile 2015. Na kwa upande wa ubunge hakuna mpinzani wa kushinda, zingatia maneno yangu
 
Ba-vichaaa
Watakuwa wanaota mchana kweupe.

Pumbavuu sana hawa vijana wanashindwa kufanya kazi wanasubiri miujiza ya 2020 kama vile watakula bure kama makinda ya ndege wakiingia hao baba zao. Chadema haitokaa ishike uongozi wa hii nchi kamwe.
 
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yawachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
View attachment 938586
Ameeeen!
 
Back
Top Bottom