Watanzania shangilieni; mwaka 2020 Mungu atatenda muujiza!

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
22,036
18,553
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge. Watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi hii msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
1542549578178.png
 
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yawachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
View attachment 938586
NINGESAPOT ILA PENGINE UNAPIGANIA TUMBO, SASAIV SIAMINI MTU, MIM NAANZA KUWA MPIGA VGELEGELE, MFALME AKITWANGWA. NAENDELEZA VIGELEGELE, LIFE IS NOT FAIR (SITAK KUTAFAKAR NLOANDIKA)
 
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yawachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
View attachment 938586

Ulienda lini Mbinguni Sebuleni Kwake Mungu akakuambia haya yote?
 
Hizo ndoto ulizoota na ziwe kweli
 
Sawa je akiamua kuwafukuza uanachama wote hilo kundi pinzani je, Maana kapewa mamlaka yote.Sema yuko kwa radar ya wazungu hivo 20 akicheza yatamkuta ya uhuruto, Akamsalimie Chaz Tailor Ndo tukionacho Maana umugabe is loading.
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, imezoeleka kwamba kila mtawala aingiaye madarakani huongoza kwa vipindi viwili vya miaka 5, yaani jumla ya miaka 10 ijapokuwa hakuna uhalali wowote wa kisheria kufanya hivyo zaidi ya mazoea tu. Waswahili walinena: “kimya kingi kina mshindo mkuu”. Kufuatia kimya cha watanzania kwa takribani miaka 3, sio jambo la kushangaza kimya hiki kikaja kusababisha mshindo mkuu mwaka 2020.

Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana.

Ndani ya chama kuna makundi kinzani ambayo yameanza kuchomoza kuelekea 2020 na yana nguvu za kutosha kufanya “mapinduzi” yasiyotarajiwa kwa manufaa mapana ya watanzania wanyonge wanaioishi kama yatima tangu mwaka 2016. Kada maarufu wa CCM, Mheshimiwa Cyprian Musiba watu wengi wanamdharau lakini alishawahi kugusia jambo hili hapo kabla. Kwa kuwa Musiba ni mmojawapo wa kikundi cha watu 100 wanaoshangilia kila jambo, ipo haja ya kuamini kwamba mwaka 2020 litakoea tukio ambalo halijawahi kuzoeleka miongoni mwa watanzania.

Hivyo basi, wanyonge wa nchi msilie sana kwani Mungu ameishasikia kilio chenu. Futeni machozi ya damu yawachuruzikayo chini ya mashavu yenu. Mwaka 2020 Mungu atawatendea muujiza wa ajabu.
View attachment 938586
 
Niliposoma hii paragraph nikagundua ninachosoma ni pumba za mtu mjinga au ni mtu anayejua ukweli lakini ameamua kuwa mpumbavu.

''Hapa ndipo watanzania wengi watakuja washikwe na butwaa wasifahamu ni nini kilichotokea. Ukiondoa kikundi cha “mashabiki” wachache wasiopungua 100 ambao kazi yao kubwa ni kumpigia mfalme vigelegele kwa kila anenalo, liwe kandamizi au la kuwaumiza wanyonge, watanzania walio wengi nyoyo zao zimevunjika kwa kiwango kikubwa sana''.

Hao watu wasiopungua 100 ulifanya wapi na lini research ukagundua. Ninajua mjinga ni mtu aneyetaja tu namba bila hata kujua ukubwa au udogo wa namba. Mpumbavu ni yule anayejua namba na ukubwa wake lakini anaamua kupotosha.

Tanzania kuna vituko!
 
Back
Top Bottom