Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,278
- 2,041
Nimefarijika sana kusikia KAULI ya Waziri Mwandamizi wa Serikali ya Awamu ya 5 na ya 6 na KADA wa CCM Januari Makamba akiuzungumzia Uchaguzi Mkuu wa 2020 chini ya RAIS MAGUFULI jinsi ulivyokuwa.
Kilichonifurahisha zaidi Mh.Makamba hakuzungumzia Bumbuli wala Serena Hotel bali Nje ya Nchi mbele ya Watanzania na Waandishi wa habari wa Kigeni. Januari Makamba alichokizungumza ndio UKWELI MTUPU wa KILICHOTOKEA wakati wa ule UCHAGUZI wa 2020.
CCM inapaswa iwaombe RADHI wapinzani hasa CHADEMA kwani ni WAHANGA WAKUBWA wa Mateso ya RAIS MAGUFULI na Serikali yake. Mpaka leo kuna Wanachama wa Chadema bado wapo MAGEREZANI kwa kesi za kusingiziwa za Mauaji Uhujumu uchumi n.k.
Pamoja na yote hayo MUNGU ni wetu sote MAGUFULI licha ya kupata KURA ZOTE za NDIO lakini SIO RAIS tena MUNGU alisikia KILIO cha WANYONGE ktk NCHI YAO. Viongozi wetu JIFUNZENI kwa hili la MAGUFULI duniani TUNAPITA TU.
VYEO ni DHAMANA.
Soma:
- Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao