Watanzania SA sio kwema tena

ingekuwa kweli hii nigeria wangewekwa wa kwanza'hao waliotajwa kwenye waraka sio hatari kama wanigeria

Wa-nigeria (a.k.a mapopo) ni washenzi kuliko mafia hawa wapuuzi hawawezi! ila waraka sii wa kuppuzwa hawa jamaa kuua binadamu si shida kwao, na hua hii hainzii kwao maybe wazungu wao wamewaambia safari hii wawashambulie mataifa yaliyotajwa hapo juu, kama ni ukimbizi mbona hamna wazimbabwe kwenye list?
 
wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao......
bafwetu.jpg


Hiyo wanawatumia watu kwenye mail boxes zao kuwapa warnings....
Ngozi nyeusi sijui tumelaaniwa wengi wetu tukishindwa maisha au jambo lolote lazima tutafute mchawi.
 
Africans we have perfected the habit of hating on each other. I tend to think the south africans natives thought after apartheid everything will be smooth for them but they were totally wrong. Most of them stopped working hard believing the government will provide for them only to realize later other blacks from different national were willing to work hard and now they have realized the government will only help once you show some effort hence the panicking and killing fellow blacks and chasing them fro their country!
 
Duh kama ni kweli hawa jamaa wa RSA hawana fadhila, ndugu zetu walikufa ilikusaidia harakati za uhuru wao leo wanatuona kero na chanzo cha umasikini wao. Kama vipi hata sie tuwabwage make wao ndo walituibia hadi waka idedisha ATC yetu, leo hapa Tanganyika makampuni mengi kwenye nyanja za viwanda, biashara, ni ya huko RSA au yanamilikiwa na watu wenye hisa kubwa kutoka huko RSA. Jacob zuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuma uko wapi Mkuu wa Kaya umeisomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hiyo ****ing warning letter from RSA thugs
 
Mbona ndio kawaida yao hao wala hawajaanza leo,ni wale weusi ambao wameshindwa maisha wanatafuta wa kumlaumu.
Wapo weusi wengi wako poa na wanashirikiana vizuri na weusi wageni kuliko hata waSA wazungu.
 
Nadhani dunia hii inahitaji watu wenye nguvu ili kuitawala. Ubaguzi kamwe huwa hauwezi kuisha. Hata kama wakiwafukuza hao wakimbizi wataanza kufukuzana wao kwa wao tena. Ni kama Tz, mkiwafukuza wakenye, mtaanza kusema wachagga wamejaa sana mwanza, tutawafukuza tena toka mwanza.
 
Ngozi nyeusi sijui tumelaaniwa wengi wetu tukishindwa maisha au jambo lolote lazima tutafute mchawi.


Huu Waraka sio wa Kweli, Ingawa Wasauzi wanachukia wageni lakini huu ni uzushi nimeukuta kwa Michizu Blog Jana. Sikubaliani nao. Kama ingekuwa kweli ungetoka kwenye magazeti na kwenye tv wangetangaza. Huu ni uzushi sio kweli
 
wakuu afrika kusini sio sehemu salama tena...nafikiri sasa tuwaachie nchi yao wema wetu tuliowatendea baba na babu zao miaka ya nyuma unatosha.....tuwaachie nchi yao......
bafwetu.jpg


Hiyo wanawatumia watu kwenye mail boxes zao kuwapa warnings....


Huu Waraka sio wa Kweli, Ingawa Wasauzi wanachukia wageni lakini huu ni uzushi nimeukuta kwa Michizu Blog Jana. Sikubaliani nao. Kama ingekuwa kweli ungetoka kwenye magazeti na kwenye tv wangetangaza. Huu ni uzushi sio kweli
 
Kwanza South Africa hakuna Chama kinachoitwa (SOUTH AFRICAN BLACK ASSOCIATION) aliyeandika hii amechemsha kinoma, katika Wageni wanaochukiwa hapa Wanaigeria na Wazimbabwe ndio wanaochukiwa mno sio Mataifa hayo aliyoyaandika. :lol: Akaandike tena aje awadanganye hapa. Huu ni Uzushi sio kweli
 
Na sisi huku tuwaanzishe hao Makaburu basi ..Tuanzie TBL,NBC,Migodini huko Kahama etc..Jino kwa Jino.
Huo waraka umetoka SABA kwa blacks wenzio. Sasa wewe uwatafute makaburu wa nini!!! Yaani akili zao kama zako. Any way, sijuwi kwanini kwenye huo waraka hawakutajwa Nigerians and Congolese. Hawa ndio wana-screw ile nchi zaidi ya maelezo. Hata hivyo, uchumi wa SA uko mikononi mwa Makaburu. Sijuwi SABA wanachotaka toka kwa foreigners ni nini hasa. Jamaa kufanya kazi hawataki. Wao ni pombe na ushirikina tu. What do they expect!?.
 
Back
Top Bottom