lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,168
- 33,434
Maamuzi ya hii mahakama yanasubiri utekelezaji wa kumakamata yule wanaemwita mhalifu Hadi atoke nchini mwake.
Yanaitaka nchi atakayoitembelea mhalifu huyo ambae mara nyingi ni wahalifu hao hua ni wakuu wa nchi Fulani, mfano Rais Omar wa sudani,kenyata wa Kenya na Sasa Putin wa urusi, akakamatwe au wakakamatwe na nchi aliyokwenda au walizokwenda kutembelea.
Sasa ujinga wa maamuzi ya mahakama hii ni kwamba, hawana uwezo wa kwenda kumkamata mhalifu wao kwake,je mhalifu asiposafiri ndo hakamatwi Tena?
Maamuzi Yao yana faida Gani?
Kwa kawaida Kuna Marais Huwa hawapendi ama hawana tabia ya kwenda nchi nyingine mfano Hayati Magufuli.
Hata hivyo, Mahakama ya ICC imeshindwa kabisa kuwashitaki Marais wa USA Kwa uhalifu wa kivita nchini Iraq na kwingineko.
Mahakama ya ICC inashangaza sana.
Nakuhakikishia
Putin hata akienda SA hawezi kukamatwa,
Ila kilichopo ni kua SA inaogopa vitisho na kusakamwa na mataifa ya west.
Kama SA iligoma kumakama Omar wa Sudani inawezaje kumkamata Rais wa nchi rafiki wa jadi wa bara la Afrika na Rais wa taifa lenye nguvu za kijeshi hapa duniani kama Urusi?
Putin asupokuja SA Kwa kikao Cha Brics sio kwa sababu ya hofu ya kukamatwa na ICC Bali ni kwa sababu za kiusalama nchini kwake, nchi yake Iko vitani na west,kiusalama sio salama kutoka nyumbani.
Putin anaonekana kabisa kukaribia kuuangusha ufalme wa west,hivyo nao unajaribu kufanya Kila liwezekanalo kutaka kumshinda.