Watanzania SA sio kwema tena

Kwanza South Africa hakuna Chama kinachoitwa (SOUTH AFRICAN BLACK ASSOCIATION) aliyeandika hii amechemsha kinoma, katika Wageni wanaochukiwa hapa Wanaigeria na Wazimbabwe ndio wanaochukiwa mno sio Mataifa hayo aliyoyaandika. :lol: Akaandike tena aje awadanganye hapa. Huu ni Uzushi sio kweli

Acha kubisha chukua hatua. Kwani hapa home mlifukuzwa?????
 
Nimeishi nao sana hao jamaa miaka ya nyuma ya 90 wanaamanisha nilijua itakuja tokea tu hii .Jamaa asilimia kubwa hawataki kufanya kazi nyie mkifanya mkianza kubadilika kimaisha wanaona wivu .cha maana ni hao ndugu zetu waliopo huko kusoma alama za nyakati kusanya mtaji njoo nyumbani biashara zipo nying tu huku shida ni mitaji .
 
yuko MTZ alikuwa huko na familia yake - tena alikuwa na kazi nzuri - ameamua kurudi..........kisa ni hizo issue za kutishiwa maisha kuwa utachomewa nyumba............urudi kwenu etc..................jamani ITS TRUE

Wakati Watanzania ukikosema unamwambia mtu "nitakushitaki polisi" Wa SA lugha yao ni " I will kill you" - narudia tena lisemwalo ni ukweli -
 
Ingawa huu ni uzushi, lakini watanzania wizi sana South Africa wanaiba sana Laptop na Blackberry za watu..

Wanachonisikitisha wanalala garden.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom