Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!
CCM ipo juu, hata wabishi hilo mnalijua! Haikurupuki ktk maamuzi!
uko sawa kabisa ccm kwa ukongwe wake kinatakiwa kuwapitisha wakonge ili wagombee kwa sababu kwa akili yako ukongwe ndiyo dawa.
ccm impitishe kingunge ngombale mwiru kuwa mgombea urais,waziri mkuu awe peter kisumo.
mawaziri wastaafu wote jumuiya ya afrika mashariki kwa sababu hawa machekbob walioishika ccm na upinzani hawafai.
Ukweli utajitenga, sioni haja ya kuupigia upatu upinzani. Wanamuda mrefu wa kujifunza!!! Ni labda baada ya 50 years ndiyo wanaweza kuwa na sifa za kuongoza nchi.
Siipendi CCM, Lakini jamaa amesema kweli. Vyama vya upinzani hapa TZ bado sana kupewa nchi. Bado sanaa.
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!
kiduku hiki
Kwenye ufisadi ccm wapo juu, cdm imeshika pabaya mnakosa usingizi sasa.CCM ipo juu, hata wabishi hilo mnalijua! Haikurupuki ktk maamuzi!
Mtoboasiri, sikiliza! Ukilinganisha upiznani wa hizo nchi ni stable, hwezi kulinganisha na upinzani wa TZ ambao wamejaa njaa (mfano David Kafulila alikuwa na haja gani ya kupiga magoti na kulia ili asamehewe?) na CHADEMA ni chama kilicho jaa migogoro ya hapa na pale, labda kikiundwa chama kingine chenye mlengo na dhamira ya dhati ya kusikiliza matatizo ya watanzania walio wengi na kisiwe na migogoro