Watanzania msiipigie kura CHADEMA 2015

CCM ipo juu, hata wabishi hilo mnalijua! Haikurupuki ktk maamuzi!

Najaribu kuamini kwamba unafanya utani ili kuwapunguzia watu stress.

Kenyans are miles ahead, Jomo Kenyata sasa ndo hub ya East Africa, wanajenga Lamu port ili iwe hub (meli kubwa zitaishia pale kwetu vitakuja vibajaji tu). Tunapontential ya kufanya makubwa lakini tumekalia uchumi: Fikiria Tanzania ikipiga miradi ifuatayo:
1. Reli ya uhakika DAR - Kigali au DAR - Bujumbura
2. Bandari ya Tanga ina advantage kuliko Lamu - Tanga iwe hub ya ukanda huu
3. Reli ya Tanga Musoma
4. Barabara ya uhakika from Mtwara to Malawi border
5. Weka uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza (for Rwanda, Uganda, Burundi and Eastern Congo connectivity).
6. mengine mengi tu............

CCM tumewaona kwa 50 yrs wacha wengine waje and in this case ni CDM.

By the way Ng'wana = Mtoto wa... Kidiku = Masika. Bila shaka wewe ni Ngosha....
 
Kama ambavyo Watanzania hawajaipa kura Igunga, Uzini na hivi karibuni Arumeru na hiyo 2015 ndio kabisa hawana chao.
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Narrow minded!
 
Nina wasiwasi na elimu na upeo wako kuhusu neno upinzani,ngoja nikufahamishe hakuna chama cha kusema kwamba hio ndio milele ni upinzani for instance CDM ikishika nchi hapo 2015 basi ccm na vyama vingine vitakua upinzani so usikariri ma dawg.
 
Sawa lakini tuna lakujifunza kutoka kwa hao wenzetu, maana wapinzani wanapokuwa wanalilia kuondoa chama tawala wana mbwembwe nyingi kweli, lakini wakipta tu madaraka wanaingia kwenye uhalisia wa uongozi na hapo ndipo utakapo shuhudia urafi na ukorofi wao.

" HAKUNA utumwa mbaya sana
kama utumwa wa kifikra. Na
hakuna namna ya kuweza
kuwatawala watu vizuri zaidi
kama kuwatawala kifikra,
yaani kuwatawala mawazo yao."
By
M. M. Mwanakijiji
 
Hivi huyu mbwiga anaeleza nini ? Mtu dizaini hii siyo wa kujibishana naye mwacheni ajiulize na kujijibu mwenyewe.
 
kwann unataka unachoamin na wenzako waamini? Kwa taarifa yako 2015 wapiga kura zaid ya mil 20 watakuwa ni chadema so jipange kunad sera za magamba
 
Unawaambia watanzania wapi? Labda hao wanaotibiwa Ulaya na India kama wewe lakini sidhani hawa wanao kufa kwa kuwa na serikali isiyo sikivu kiasi hiki watakuelewa.

Wasalaam
 
Mtoboasiri, sikiliza! Ukilinganisha upiznani wa hizo nchi ni stable, hwezi kulinganisha na upinzani wa TZ ambao wamejaa njaa (mfano David Kafulila alikuwa na haja gani ya kupiga magoti na kulia ili asamehewe?) na CHADEMA ni chama kilicho jaa migogoro ya hapa na pale, labda kikiundwa chama kingine chenye mlengo na dhamira ya dhati ya kusikiliza matatizo ya watanzania walio wengi na kisiwe na migogoro

Hakuna chama perfect, ila ccm hii ni living proof ya uozo, incompetence, wizi bila ya uoga/haya, ubinafsi na umbumbumbu katika uongozi. Na mtu anaeona ccm inafaa ama atakuwa anafaidika na uozo uliopo au ni mjinga. Ni vigumu mtu mwenye akili zake timamu akashabikia ccm katika mazingira ya leo hii.
 
Kwa Afrika ni nadra upinzani kuleta maendeleo. Mfano halisi angalia Kenya ambapo hao raia waliouweka upinzani madarakani uliwasbabishia matatizo makubwa na hatimaye umefikia hatua ya kuwafukuza wafanya kazi wa sekta ya afya. Hii haikubaliki, mfano tizama jinsi chama cha mapinduzi kinavyo fanya mambo kwa kufuata sheria na ni chama kivumilivu. Nasaha zangu, watanzania msibabaishwe na vyama vya upinzani. Tujenge nchi na CCM!!

Hivi kwanini mtu anapoleta hoja ya kimahoka kama hii Great Thinkers mnakuwa busy kuchangia! haya great thinkers,kila la kheri
 
Duh! sawa bwana, Ila ukweli ndiyo huo, sina haja ya kukuelewesha zaidi ya hapo, CDM ni wababe na wamekaa kishari shari, mfano zitto mara wagombane na mwenyekiti mara na Dr Slaa, mara watofautiane na kuweka hadharani migogoro yao, ina maana wakipewa nchi itakuwa kama kenya, Mwakibaki a.k.a Dr Slaa anaweza kung'ang'ania madaraka na zitto a.k.a Raila anaweza kutaka kuwa rais, na ndipo utakapoona nchi haiwezai kusonga mbele

Kugombana ni ishara kuwa hao watu ni imara na wanasimamia wanachokiamini,au umesahau ya nyerere na kambona?
 
A%20S-cry.gif
OMG unahitaji mahombi ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom