mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,965
- 37,759
Wewe umejuaje alitaka kukuroga ufe!!!
Unathibitisha vipi kwamba kafukia nyota za wengine!!!
Unafikiri angekuwa mshenzi kiasi hicho angeruhu watoto wake wafikie kwako??angeishawasimulia jinsi ulivyo andazi na ni kwa namna gani wanatakiwa kukuepuka.
katika ugomvi wenu kwa umri uliofikia ukitafakari ni wewe ulikosea ama yeye??maana utoto una mambo mengi kwa sasa ni mambo mengi tuliyohisi tulionewa tunagundua wakubwa zetu walikuwa sawa.
Matatizo ya familia zenye watu wengi ni haya,waliochemka wanatafuta visingizio kwa aliyetoboa,ili waendelee kujifariji.
Wewe hapo ni shahidi wa matokeoya juhudi na kukaza,umefanikiwa kufika ulipo,hakuna habari za nyota wala mbalamwezi,au yako aliishindwa??