Wataalamu wa mambo ya kiroho nawaomba haraka

Wewe umejuaje alitaka kukuroga ufe!!!

Unathibitisha vipi kwamba kafukia nyota za wengine!!!

Unafikiri angekuwa mshenzi kiasi hicho angeruhu watoto wake wafikie kwako??angeishawasimulia jinsi ulivyo andazi na ni kwa namna gani wanatakiwa kukuepuka.

katika ugomvi wenu kwa umri uliofikia ukitafakari ni wewe ulikosea ama yeye??maana utoto una mambo mengi kwa sasa ni mambo mengi tuliyohisi tulionewa tunagundua wakubwa zetu walikuwa sawa.

Matatizo ya familia zenye watu wengi ni haya,waliochemka wanatafuta visingizio kwa aliyetoboa,ili waendelee kujifariji.
Wewe hapo ni shahidi wa matokeoya juhudi na kukaza,umefanikiwa kufika ulipo,hakuna habari za nyota wala mbalamwezi,au yako aliishindwa??
 
aiseee hii issue yako ni very critical na inahitaji maamuzi ya kina sana. Najua ulichagua maisha ya kumuishi Yesu Kristo na ndani yako una upendo na watu wa kwenu.

Nikuombe usome tena hapo aliposhauri Mr Likud zaidi hata ya mara mbili kuna majibu yako.
Mchawi hutafuta kila njia ili aweze
kukamilisha mission yake. Natoka kwenye jamii ya watu wanaohusudu sana issue za ushirikina michezo yao mingi haina huruma wala chembe ya upendo ndani yake hata akikuonesha wema usoni pasipo nia ya dhati ya kutaka kugeuka toka kwenye njia zake ovu hapo unatafutwa. Hata Paulo alimuonya sana Timetheo ..(2timotheo 4:14).

asaiv uko monitored kwa ukaribu sana sana. kuna uwezekano watoto wake wamezindikwa and those evil spirits inside them ziko zinaandaa tukio juu yako muda wowote ule.
 
Ningekuwa ndo mimi, baba alishanikana na kunitenga kwenye ukoo, halafu kuna mwanafamilia ananiwinda, wala hata wasingejua niko wapi wala huko niliko nafanya nini. Wewe hao wana za nduguyo walikupata vipi mjini aisee?!...

Kuhusu nyota, ilikuwaje wewe hakuifunika nyota yako?
 
Sikia. Kama unatafuta ushauri wa Kiroho tafuta watu wa kiroho.
Pili. Kama umebadili imani na kuwa na imani inayoamini uwezo wa Mungu acha kuogopa Uchawi. Kuogopa uchawi ni kukosa imani ya Mungu unayemuamini. Wewe mwamini Mungu mtegemee.
Imeandikwa
" Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya".
Zaburi 37:5
Tatu. Toa msaada bila kujali malipo au kuwa utapata nini baadae kwahiyo wasaidie watoto wake kile ambacho ni hitaji afrerall wao sio wahusika . Hata wewe ulisaidiwa na Wasamaria kama ulivyosema. Kuwa mkono wa Mungu kwa kubariki wema na wabaya maana hata Mungu hatubagui
"ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Mathayo 5:45

Nne. Samehe. Kila mtu ana shida wote tumeoungukiwa na utukufu wa Mungu tunakosea lkn Mungu hutusamehe. Huyo ndugu yako aweza kujua kuwa kumbe alikukosea ndio maana anataka amani nawe.
Msamehe. Kama husamehi hata wewe husamehewi
"Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu."
Mathayo 6:12

Mwisho kwa sasa. Wewe ni mkono wa Mungu kuwavuta watu waje kwake kwa Toba. Maana huenda kutokea kwako ndugu yako amejifunza upendo wa Mungu ambao unavuta kwa Toba.
 
Asante sana.
My grand brother ana nyadhifa kubwa tu katika dini ya baba yake.
Akiamua kimfuata Yesu ni kama ataamua kuanza maisha mapya from bottom
Ni sheikh wa wilaya na anakaimu mkoa
Inawezekana kabisa mkuu, Mkristo akipiga goti na kuamuru, ulimwengu wa roho unawaheshimu hasahasa wale wanaoishi maisha matakatifu sana na kuomba.

Ila sasa huyu vita vyake itakuwa ya muda mrefu ,maana kwenye ulimwengu wa roho kuna walinzi.
 
Tuma nyumbani kwenu taarifa feki kwamba wewe huku mjini unapitia kipindi kigumu sana na probably UNAISHI kwenye chumba kimoja. Kwa kufanya hivyo uta avoid un necessary risks. Hata huyo kaka ako ataona hana sababu ya kukufuatilia kichawi kwa sababu ataamini tayari umefeli.
Mleta mada naomba uchukue hii, mengine ya puuzie kabisa, jambo lolote linakuwa shida unapolipa unapolizingatia ila ukipuuzia hayakuleta shida.
 
Kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka vumilia, kimbia fasta toka nduki we kimbia ukianguka ukistuka inuka vumilia.

# witches do never abandon their projects.

# hawakubali kushindwa.

# akishindwa yeye anaenda kwa baba ake wa uchawi yani mtu mwenye uchawi mkubwa kumzidi au alie mfundisha uchawi.

# wachawi wana network kubwa sana ndani na nje ya nchi. Akikushindwa yeye ata " faulisha" kazi kwa waganga/wachawi wengine ambao anajua ni wakali zaidi yake.

# katika uganga na uchawi there is a million ways to kill a cat. Akikushindwa kwa 100% uchawi atamiks na ujambazi . Atakutumia jambazi mchawi kumaliza kazi. How? Atakutazama kwenye rada zake za kichawi kujua siku gani na saa gani nzuri wewe kupigwa bomu la kukuondoa duniani. Siku ya tukio hatumii uchawi anatumwa jambazi kuja kukupiga risasi. Huyu jambazi atazindikwa kwanza kabla ya kazi na silaha yake itazindikwa kwanza. N.a. usiku wa kuamkia kwenye tukio litafanywa kafara moja kubwa sana la hatari kaburini ili kukulaani wewe na kutupia jini wa mauti.

# Anaweza kutumwa mtu kukuwekea sumu ya kichawi kwenye chakula au kinywaji. Waganga na wachawi wana knowledge pana sana kuhusu miti mbalimbali ya sumu. Sumu inakuwa slow poison na itakuua kisayansi.

KOSA LAKO NI NINI?

Ni kuwa na mahusiano na watoto wa nduguyo mchawi ambae alitaka kukuua.

Kwanza kitu gani kimekufanya mpaka u wa host watoto wake kwako?

kwa situation kama yako u was supposed to play dead. Or play invisible. Pretend to be weak. ..

u need to.learn and understand the art and science of war.

Tuma nyumbani kwenu taarifa feki kwamba wewe huku mjini unapitia kipindi kigumu sana na probably UNAISHI kwenye chumba kimoja. Kwa kufanya hivyo uta avoid un necessary risks. Hata huyo kaka ako ataona hana sababu ya kukufuatilia kichawi kwa sababu ataamini tayari umefeli.

The guy is playing mind games and intelligence tricks with u. He wants to keep u close so that he can hit with ease
Nmekuelewa sanaa..hii point
 
Habari!
Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri.
Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17.
So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha uganga wa kitabu plus miti huo ndio humpa pesa zaidi ya kilimo.
Mimi ni mtumishi wa umma niko Dar na kuna brother mwingine diwani yuko huko huko mkoani .
Yule brother mkubwa na Mimi baba na mama yetu mmoja.
Tulikosana na brother nikiwa form two kuelekea forn Three na alinifanyia kisasi kutaka kuniua kichawi the same year (namaanisha mara tu tulipotoka kukosana).
Ile issue ikaisha MUNGU akanipigania jamaa akashindwa.

Baadaye mwaka 1 mbele mzazi wangu namaanisha baba mzazi akanitenga na kuutangazia ukoo na familia yake kuwa Mimi si mtoto wake kwakuwa nimeacha njia/dini yake.
Mimi kwa msimamo sijarudi nyuma nikasonga na Imani yangu wasamaria wakanisapoti mpaka nikamaliza kidato cha 6 na walipotaka kuendelea kunisapoti university nilikataa . Mimi binafsi sipendi sana msaada maana msaada wowote lazima ukupunguzie uhuru au utu wako
Nikakomaa kivyangu mpaka nikapata kazi . Sasa niko stable.
Sasa watoto wa brother mkubwa ambaye tulikosana wakija dar wanapita kwangu Muda mwingine wanakaa hata wiki . Ikimbukwe hapo sijawasiliana na baba yao miaka 15.
Sasa majuzi baba yao (brother) kanipigia simu akinishukuru jinsi ninavyowapokea watoto wake wanaponitembelea wakitokea chuo maana wanasoma hapahapa Dar
Pili alikuwa akini remind nitambue undugu wetu wa damu ambao hauwezi kuvunjika kwa hali yoyote.
Hilo sio tatizo, Mimi sina kinyongo na mtu.
Tatizo ni kwamba huyu grand brother anatuhumiwa kurudisha maisha ya wanafamilia wengine nyuma. Ukoo una hali ngumu sana kiuchumi, ufukara uliokithiri
Hata jamaa aliyepata Udiwani nyota yake imezimwa, Sasa ana hali ngumu, sometimes kawa kama mtu aliyevurugwa. Sometimes hata pesa ya kula hana anakwenda kula kwa dada .
Sometimes hata simu hana. Imagine diwani anakosa simu anasaidiwa kiswaswadu na dada.
Mimi kidogo ndio nina mwanga.
Sasa huyu mtu ambaye anatuhuma za kuwaangusha watu chini je, moyo wake hauwazi mabaya juu yangu?
Au baada ya kushindwa kuniangusha kaamua ajisalimishe kwangu?
Au anajipendekeza kwangu akijua naweza kuwasapoti watoto wake kupata kazi wakimaliza chuo?
Je, mchawi anaweza kubadili maamuzi na kuwa rafiki? Huyu mtu alifanya attempt kadhaa za kuutaka uhai wangu lakini alifeli miaka kadhaa iliyopita.
Historia iko hivi huyu mtu kwakuwa ana madaraka kadhaa wa kadhaa katika dini na serikalini na pesa anazo basi hana unyenyekevu kwa ndugu zake lakini sasa kwangu kawa mpole , mpaka meseji za salamu ananitumia.
Kuna nini hapa?
MUNGU kaleta upatanisho au ananivuta bado roho yake inawaza mabaya kwangu?
Diwani, Sio Kasimu huyu? Anyway ,ye alistaafu kitambo. Ila anatia huruma acha.
 
Ningekuwa ndo mimi, baba alishanikana na kunitenga kwenye ukoo, halafu kuna mwanafamilia ananiwinda, wala hata wasingejua niko wapi wala huko niliko nafanya nini. Wewe hao wana za nduguyo walikupata vipi mjini aisee?!...

Kuhusu nyota, ilikuwaje wewe hakuifunika nyota yako?
Daaahhh hatari.
Long story.
Ila ukiihitaji utaipata
 
aiseee hii issue yako ni very critical na inahitaji maamuzi ya kina sana. Najua ulichagua maisha ya kumuishi Yesu Kristo na ndani yako una upendo na watu wa kwenu.

Nikuombe usome tena hapo aliposhauri Mr Likud zaidi hata ya mara mbili kuna majibu yako.
Mchawi hutafuta kila njia ili aweze
kukamilisha mission yake. Natoka kwenye jamii ya watu wanaohusudu sana issue za ushirikina michezo yao mingi haina huruma wala chembe ya upendo ndani yake hata akikuonesha wema usoni pasipo nia ya dhati ya kutaka kugeuka toka kwenye njia zake ovu hapo unatafutwa. Hata Paulo alimuonya sana Timetheo ..(2timotheo 4:14).

asaiv uko monitored kwa ukaribu sana sana. kuna uwezekano watoto wake wamezindikwa and those evil spirits inside them ziko zinaandaa tukio juu yako muda wowote ule.
Nakusoma mkuu
 
Habari!
Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri.
Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17.
So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha uganga wa kitabu plus miti huo ndio humpa pesa zaidi ya kilimo.
Mimi ni mtumishi wa umma niko Dar na kuna brother mwingine diwani yuko huko huko mkoani .
Yule brother mkubwa na Mimi baba na mama yetu mmoja.
Tulikosana na brother nikiwa form two kuelekea forn Three na alinifanyia kisasi kutaka kuniua kichawi the same year (namaanisha mara tu tulipotoka kukosana).
Ile issue ikaisha MUNGU akanipigania jamaa akashindwa.

Baadaye mwaka 1 mbele mzazi wangu namaanisha baba mzazi akanitenga na kuutangazia ukoo na familia yake kuwa Mimi si mtoto wake kwakuwa nimeacha njia/dini yake.
Mimi kwa msimamo sijarudi nyuma nikasonga na Imani yangu wasamaria wakanisapoti mpaka nikamaliza kidato cha 6 na walipotaka kuendelea kunisapoti university nilikataa . Mimi binafsi sipendi sana msaada maana msaada wowote lazima ukupunguzie uhuru au utu wako
Nikakomaa kivyangu mpaka nikapata kazi . Sasa niko stable.
Sasa watoto wa brother mkubwa ambaye tulikosana wakija dar wanapita kwangu Muda mwingine wanakaa hata wiki . Ikimbukwe hapo sijawasiliana na baba yao miaka 15.
Sasa majuzi baba yao (brother) kanipigia simu akinishukuru jinsi ninavyowapokea watoto wake wanaponitembelea wakitokea chuo maana wanasoma hapahapa Dar
Pili alikuwa akini remind nitambue undugu wetu wa damu ambao hauwezi kuvunjika kwa hali yoyote.
Hilo sio tatizo, Mimi sina kinyongo na mtu.
Tatizo ni kwamba huyu grand brother anatuhumiwa kurudisha maisha ya wanafamilia wengine nyuma. Ukoo una hali ngumu sana kiuchumi, ufukara uliokithiri
Hata jamaa aliyepata Udiwani nyota yake imezimwa, Sasa ana hali ngumu, sometimes kawa kama mtu aliyevurugwa. Sometimes hata pesa ya kula hana anakwenda kula kwa dada .
Sometimes hata simu hana. Imagine diwani anakosa simu anasaidiwa kiswaswadu na dada.
Mimi kidogo ndio nina mwanga.
Sasa huyu mtu ambaye anatuhuma za kuwaangusha watu chini je, moyo wake hauwazi mabaya juu yangu?
Au baada ya kushindwa kuniangusha kaamua ajisalimishe kwangu?
Au anajipendekeza kwangu akijua naweza kuwasapoti watoto wake kupata kazi wakimaliza chuo?
Je, mchawi anaweza kubadili maamuzi na kuwa rafiki? Huyu mtu alifanya attempt kadhaa za kuutaka uhai wangu lakini alifeli miaka kadhaa iliyopita.
Historia iko hivi huyu mtu kwakuwa ana madaraka kadhaa wa kadhaa katika dini na serikalini na pesa anazo basi hana unyenyekevu kwa ndugu zake lakini sasa kwangu kawa mpole , mpaka meseji za salamu ananitumia.
Kuna nini hapa?
MUNGU kaleta upatanisho au ananivuta bado roho yake inawaza mabaya kwangu?
Hujatueleza kama bado Baba yupo hai, kwa kifupi kama familia ilishakutenga kwa miaka 15 na Mungu amekuwa na wewe katika mapito yote jitahd kuwa na kias. Mi ni mpenz wa kuwasaidia watu hasa watoto wa ndugu lakin wakiwa kwao na sio kuwaleta nyumban. Kama ulishafanya maamuz ya kumovie on na ukaona mwanga jitahd usirud nyuma hii ni kwasababu maisha ni mwalimu. Hao watoto ndio watakaotumika kukumaliza mbelen coz ukishindwa kuwapatia kazi utaonekana wewe ndio mbaya wao. Usidharau njia Mungu aliyokuonyesha mapema ukaiacha bado adui anakuwinda mlangoni chukua tahadhari. Mwenyezi Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo akusaidie.
 
Habari!
Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri.
Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17.
So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha uganga wa kitabu plus miti huo ndio humpa pesa zaidi ya kilimo.
Mimi ni mtumishi wa umma niko Dar na kuna brother mwingine diwani yuko huko huko mkoani .
Yule brother mkubwa na Mimi baba na mama yetu mmoja.
Tulikosana na brother nikiwa form two kuelekea forn Three na alinifanyia kisasi kutaka kuniua kichawi the same year (namaanisha mara tu tulipotoka kukosana).
Ile issue ikaisha MUNGU akanipigania jamaa akashindwa.

Baadaye mwaka 1 mbele mzazi wangu namaanisha baba mzazi akanitenga na kuutangazia ukoo na familia yake kuwa Mimi si mtoto wake kwakuwa nimeacha njia/dini yake.
Mimi kwa msimamo sijarudi nyuma nikasonga na Imani yangu wasamaria wakanisapoti mpaka nikamaliza kidato cha 6 na walipotaka kuendelea kunisapoti university nilikataa . Mimi binafsi sipendi sana msaada maana msaada wowote lazima ukupunguzie uhuru au utu wako
Nikakomaa kivyangu mpaka nikapata kazi . Sasa niko stable.
Sasa watoto wa brother mkubwa ambaye tulikosana wakija dar wanapita kwangu Muda mwingine wanakaa hata wiki . Ikimbukwe hapo sijawasiliana na baba yao miaka 15.
Sasa majuzi baba yao (brother) kanipigia simu akinishukuru jinsi ninavyowapokea watoto wake wanaponitembelea wakitokea chuo maana wanasoma hapahapa Dar
Pili alikuwa akini remind nitambue undugu wetu wa damu ambao hauwezi kuvunjika kwa hali yoyote.
Hilo sio tatizo, Mimi sina kinyongo na mtu.
Tatizo ni kwamba huyu grand brother anatuhumiwa kurudisha maisha ya wanafamilia wengine nyuma. Ukoo una hali ngumu sana kiuchumi, ufukara uliokithiri
Hata jamaa aliyepata Udiwani nyota yake imezimwa, Sasa ana hali ngumu, sometimes kawa kama mtu aliyevurugwa. Sometimes hata pesa ya kula hana anakwenda kula kwa dada .
Sometimes hata simu hana. Imagine diwani anakosa simu anasaidiwa kiswaswadu na dada.
Mimi kidogo ndio nina mwanga.
Sasa huyu mtu ambaye anatuhuma za kuwaangusha watu chini je, moyo wake hauwazi mabaya juu yangu?
Au baada ya kushindwa kuniangusha kaamua ajisalimishe kwangu?
Au anajipendekeza kwangu akijua naweza kuwasapoti watoto wake kupata kazi wakimaliza chuo?
Je, mchawi anaweza kubadili maamuzi na kuwa rafiki? Huyu mtu alifanya attempt kadhaa za kuutaka uhai wangu lakini alifeli miaka kadhaa iliyopita.
Historia iko hivi huyu mtu kwakuwa ana madaraka kadhaa wa kadhaa katika dini na serikalini na pesa anazo basi hana unyenyekevu kwa ndugu zake lakini sasa kwangu kawa mpole , mpaka meseji za salamu ananitumia.
Kuna nini hapa?
MUNGU kaleta upatanisho au ananivuta bado roho yake inawaza mabaya kwangu?
kama umeokoka,akijaribu tu,nyota zake zote zitakuja kwako,,kama hujaokoka kaa mbali nae kabisa,usiamini mchawi hata siku moja,anakutafutia taiming.
 
Haha! Uafrika ni kazi sana sa ndo maimani gani haya!
Ya kwamba ndugu wanashindwa kuendelea kisa jamaa anawaroga! Mh! Basi sawa kama mmelijua hilo mnasubiri nini kutatua au mmeamua tu kumtupia zigo la lawama mwenzenu kisa amefanikiwa..?
Jitutumueni acheni Imani za hovyo
Hujui kitu, kaa kimya. Dunia inayo mengi ya kujifunza. Ulimwengu wa roho ni halisia kuliko ulimwengu wa mwili.
 
Habari!
Hata Marais Kuna wakati huombana ushauri.
Katika familia yetu tuko 8 kwa mama mmoja na kwa baba jumla tuko 17.
So far, kuna brother wetu wa kwanza kabisa yeye ndiye mwenye pesa kuliko wote . Yeye ni mkulima mkubwa kidogo. Nikimaanisha mvuno mmoja million 20 hakosi. Pia ana kijiwe cha uganga wa kitabu plus miti huo ndio humpa pesa zaidi ya kilimo.
Mimi ni mtumishi wa umma niko Dar na kuna brother mwingine diwani yuko huko huko mkoani .
Yule brother mkubwa na Mimi baba na mama yetu mmoja.
Tulikosana na brother nikiwa form two kuelekea forn Three na alinifanyia kisasi kutaka kuniua kichawi the same year (namaanisha mara tu tulipotoka kukosana).
Ile issue ikaisha MUNGU akanipigania jamaa akashindwa.

Baadaye mwaka 1 mbele mzazi wangu namaanisha baba mzazi akanitenga na kuutangazia ukoo na familia yake kuwa Mimi si mtoto wake kwakuwa nimeacha njia/dini yake.
Mimi kwa msimamo sijarudi nyuma nikasonga na Imani yangu wasamaria wakanisapoti mpaka nikamaliza kidato cha 6 na walipotaka kuendelea kunisapoti university nilikataa . Mimi binafsi sipendi sana msaada maana msaada wowote lazima ukupunguzie uhuru au utu wako
Nikakomaa kivyangu mpaka nikapata kazi . Sasa niko stable.
Sasa watoto wa brother mkubwa ambaye tulikosana wakija dar wanapita kwangu Muda mwingine wanakaa hata wiki . Ikimbukwe hapo sijawasiliana na baba yao miaka 15.
Sasa majuzi baba yao (brother) kanipigia simu akinishukuru jinsi ninavyowapokea watoto wake wanaponitembelea wakitokea chuo maana wanasoma hapahapa Dar
Pili alikuwa akini remind nitambue undugu wetu wa damu ambao hauwezi kuvunjika kwa hali yoyote.
Hilo sio tatizo, Mimi sina kinyongo na mtu.
Tatizo ni kwamba huyu grand brother anatuhumiwa kurudisha maisha ya wanafamilia wengine nyuma. Ukoo una hali ngumu sana kiuchumi, ufukara uliokithiri
Hata jamaa aliyepata Udiwani nyota yake imezimwa, Sasa ana hali ngumu, sometimes kawa kama mtu aliyevurugwa. Sometimes hata pesa ya kula hana anakwenda kula kwa dada .
Sometimes hata simu hana. Imagine diwani anakosa simu anasaidiwa kiswaswadu na dada.
Mimi kidogo ndio nina mwanga.
Sasa huyu mtu ambaye anatuhuma za kuwaangusha watu chini je, moyo wake hauwazi mabaya juu yangu?
Au baada ya kushindwa kuniangusha kaamua ajisalimishe kwangu?
Au anajipendekeza kwangu akijua naweza kuwasapoti watoto wake kupata kazi wakimaliza chuo?
Je, mchawi anaweza kubadili maamuzi na kuwa rafiki? Huyu mtu alifanya attempt kadhaa za kuutaka uhai wangu lakini alifeli miaka kadhaa iliyopita.
Historia iko hivi huyu mtu kwakuwa ana madaraka kadhaa wa kadhaa katika dini na serikalini na pesa anazo basi hana unyenyekevu kwa ndugu zake lakini sasa kwangu kawa mpole , mpaka meseji za salamu ananitumia.
Kuna nini hapa?
MUNGU kaleta upatanisho au ananivuta bado roho yake inawaza mabaya kwangu?
Adui wa mtu, ni wale wa nyumbani kwake. Kuwa na busara kama nyoka, na mpole kama huwa lazima siku moja atanaswa kwenye hila zake.
 
Back
Top Bottom