Wataalam wa Itifaki tuelimisheni: JK kupokelewa na Meya wa Jiji Salzburg Austria

cape town

Member
May 28, 2013
40
41
Mheshiwa Raisi JK alipokuwa anawasili nchini Austria kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Utandawazi na Usawa unaofanyika Jijini Salzburg Austria alipokelewa na Meya wa jiji hilo ambalo si mji mkuu wa Austria bwana Wilfred Haslauer. Wataalam wa Itifaki mnasemaje? Ni sawa kulingana na utaratibu waliojipangia wenyej kuwapokea wageni au mapokezi ni tofaut kulingana na hadhi ya mgeni nchini kwao? Au walikosekana makamu wa rais, waziri mkuu, mawaziri au manaibu mawaziri kama wapo kuja airport kumpokea JK mpaka atumwe meya tena wa jiji hlo ambalo si mji mkuu? Au rais aliwapokea wagen anaowaheshmu na maarufu halafu waliobak walipokelewa na meya wa manispaa hyo ya Salzburg? Hivi Meya wa jiji la DSM anaweza kwenda airport kama kiongoz mkuu wa mapokez kumpokea Jacob Zuma? Hapa TZ rais wa Lesotho hata jina simfahamu lakin alipokelewa na makamu wa rais Dr Bilal. Tuelimishane kwa wenye ufahamu
 
Mheshiwa Raisi JK alipokuwa anawasili nchini Austria kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Utandawazi na Usawa unaofanyika Jijini Salzburg Austria alipokelewa na Meya wa jiji hilo ambalo si mji mkuu wa Austria bwana Wilfred Haslauer. Wataalam wa Itifaki mnasemaje? Ni sawa kulingana na utaratibu waliojipangia wenyej kuwapokea wageni au mapokezi ni tofaut kulingana na hadhi ya mgeni nchini kwao? Hivi Ma------ kama kiongoz mkuu wa mapokez kumpokea Jacob Zuma? Tuelimishane kwa wenye ufahamu

mkuu nijuavyo mimi kama ni ziara ya kitaifa au mwaliko wa rais kutoka nchi hiyo, ilibidi apokewe na rais wa nchi hiyo au yawezekana labda baadae atapokewa rasmi na rais wa nchi ikulu. hata Obama au viongozi wa nchi nyingi za wenzetu huwa rais hapokei pale airport bali huwepo waziri wa zamu. mara nyingi mapokezi rasmi hufanyika baadae ikulu. mkuu JK hajadharaulika usihofu.
 
Mheshiwa Raisi JK alipokuwa anawasili nchini Austria kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Utandawazi na Usawa unaofanyika Jijini Salzburg Austria alipokelewa na Meya wa jiji hilo ambalo si mji mkuu wa Austria bwana Wilfred Haslauer. Wataalam wa Itifaki mnasemaje? Ni sawa kulingana na utaratibu waliojipangia wenyej kuwapokea wageni au mapokezi ni tofaut kulingana na hadhi ya mgeni nchini kwao? Hivi Meya wa jiji la DSM anaweza kwenda airport kama kiongoz mkuu wa mapokez kumpokea Jacob Zuma? Tuelimishane kwa wenye ufahamu

JK naye bana............. amezidi kuzurura mpaka viongozi wa nchi za watu waliostaarabika wamemchoka
 
mkuu nijuavyo mimi kama ni ziara ya kitaifa au mwaliko wa rais kutoka nchi hiyo, ilibidi apokewe na rais wa nchi hiyo au yawezekana labda baadae atapokewa rasmi na rais wa nchi ikulu. hata Obama au viongozi wa nchi nyingi za wenzetu huwa rais hapokei pale airport bali huwepo waziri wa zamu. mara nyingi mapokezi rasmi hufanyika baadae ikulu. mkuu JK hajadharaulika usihofu.

....vipi ile tag aliyovishwa......imekaaje kiprotokali?..........
 
JK anajidhililisha mwenyewe! Mkutano huo haukuwa na ulazima wa yeye kuhudhuria,Angewaachia akina Lukuvi,akina Wasira, Halafu mleta Uzi huwezi kumfananisha JK na Zuma, Zuma ni Rais wa watu wake,JK ni rais wa wazungu!!!
 
Mhhh!!sasa mlitaka apokewe na nani kwani ni Dhambi Meya akimpokea?uku ni jambo la kawida sana uko kwetu ndo mnaona kitu kigeni sana hata meya wa jiji la Dar anaweza kumpokea Rais yeyote yule wa nchi ni uamuzi tu cha msingi tushukuru amefika salama afanye yaliompeleka huko kwa manufaa na Faida ya Watanzania na aludi huko Nyumbani salama salimin.
 
Kachokwa na sisi na anaowatembelea. Yeye hupokea viongozi wote kwa mbwembwe.

Akienda US hupokelewa na mkuu wa idara ya mambo ya Afrika kwenye wizara ya mambo ya nje. Then, km ni ziara ya serikali hupangiwa siku ya kumwona Obama kwa dk 20. Aibu!
 
mheshiwa raisi jk alipokuwa anawasili nchini austria kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa utandawazi na usawa unaofanyika jijini salzburg austria alipokelewa na meya wa jiji hilo ambalo si mji mkuu wa austria bwana wilfred haslauer. Wataalam wa itifaki mnasemaje? Ni sawa kulingana na utaratibu waliojipangia wenyej kuwapokea wageni au mapokezi ni tofaut kulingana na hadhi ya mgeni nchini kwao? Au walikosekana makamu wa rais, waziri mkuu, mawaziri au manaibu mawaziri kama wapo kuja airport kumpokea jk mpaka atumwe meya tena wa jiji hlo ambalo si mji mkuu? Au rais aliwapokea wagen anaowaheshmu na maarufu halafu waliobak walipokelewa na meya wa manispaa hyo ya salzburg? Hivi meya wa jiji la dsm anaweza kwenda airport kama kiongoz mkuu wa mapokez kumpokea jacob zuma? Hapa tz rais wa lesotho hata jina simfahamu lakin alipokelewa na makamu wa rais dr bilal. Tuelimishane kwa wenye ufahamu

majanga ya kuzurula hayo hata heshima hakuna,iko siku atapokelewa na diwani au mwenyekiti wa kitongoji
 
mkuu nijuavyo mimi kama ni ziara ya kitaifa au mwaliko wa rais kutoka nchi hiyo, ilibidi apokewe na rais wa nchi hiyo au yawezekana labda baadae atapokewa rasmi na rais wa nchi ikulu. hata Obama au viongozi wa nchi nyingi za wenzetu huwa rais hapokei pale airport bali huwepo waziri wa zamu. mara nyingi mapokezi rasmi hufanyika baadae ikulu. mkuu JK hajadharaulika usihofu.

Jipeni moyo! Huku jamaa kaning'inizwa TAG NAME!
 
....vipi ile tag aliyovishwa......imekaaje kiprotokali?..........

Kwamba urais pale haujulikani na hauna mashiko. Ni kama Participants wengine tu! Mshipa wa AIBU ukisha kufa ndio basi tena. Hata kwenye kiduku RUKSA kumualika!!
 
JK naye bana............. amezidi kuzurura mpaka viongozi wa nchi za watu waliostaarabika wamemchoka

Hivi nyie watu mmerogwa au ni upofu mlionao japokuwa mnamacho lakini hayaoni. safari za rais ndizo zinazoleta manufaa mengi nchini na sio raisi wetu pekee anasafiri kila mara kama huwa unatizama matukio duniani hebu jaribu kuangalia kiongozi wa juu kabisa wa marekani bwa ambae Secretary general anavyo safiri ndo uongee nchi yenye mipango endelevu lazima kiongozi wa juu asafiri kila mara tz hatuna kiongozi anae weza kutoa maamuzi yote ispokuwa raisi ndoma inamlazim kusafiri kila inapohitajika kutokana na umuhim wa safari na uwakilishi aina uzito wa inshu kwahiyo msikalie mambonya kuiga tu ukiona watu wameongea nawewe useme jua kwanza nini kimepeleka raisi kama hii inshu raisi kaalikwa ulitaka uende wewe
 
kwenye mkutano rais peke yake hivi aoni noma? kazi za makatibu wakuu hizo au balozi huyu jamaa naye bha!
 
Hivi nyie watu mmerogwa au ni upofu mlionao japokuwa mnamacho lakini hayaoni. safari za rais ndizo zinazoleta manufaa mengi nchini na sio raisi wetu pekee anasafiri kila mara kama huwa unatizama matukio duniani hebu jaribu kuangalia kiongozi wa juu kabisa wa marekani bwa ambae Secretary general anavyo safiri ndo uongee nchi yenye mipango endelevu lazima kiongozi wa juu asafiri kila mara tz hatuna kiongozi anae weza kutoa maamuzi yote ispokuwa raisi ndoma inamlazim kusafiri kila inapohitajika kutokana na umuhim wa safari na uwakilishi aina uzito wa inshu kwahiyo msikalie mambonya kuiga tu ukiona watu wameongea nawewe useme jua kwanza nini kimepeleka raisi kama hii inshu raisi kaalikwa ulitaka uende wewe

.....Huyu nae katokea wapi tena? kuendesha nchi kwa kuomba omba ni kudharaulika si unaona wakina kenyatta wenye attitude za self dependancy wanavyo mtenga JK kwa kupenda kuomba omba hovyo kwa wazungu ni aibu kweli kweli.
 
mkuu nijuavyo mimi kama ni ziara ya kitaifa au mwaliko wa rais kutoka nchi hiyo, ilibidi apokewe na rais wa nchi hiyo au yawezekana labda baadae atapokewa rasmi na rais wa nchi ikulu. hata Obama au viongozi wa nchi nyingi za wenzetu huwa rais hapokei pale airport bali huwepo waziri wa zamu. mara nyingi mapokezi rasmi hufanyika baadae ikulu. mkuu JK hajadharaulika usihofu.

wamemchoka kutembelea nchi za wenziwe,kwani ilikuwa lazima aende yeye,kama ni utandawazi si angekwenda hata makame mbalawa? Au makamu wa rais yeye wamemchoka
 
Back
Top Bottom