Mheshiwa Raisi JK alipokuwa anawasili nchini Austria kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Utandawazi na Usawa unaofanyika Jijini Salzburg Austria alipokelewa na Meya wa jiji hilo ambalo si mji mkuu wa Austria bwana Wilfred Haslauer. Wataalam wa Itifaki mnasemaje? Ni sawa kulingana na utaratibu waliojipangia wenyej kuwapokea wageni au mapokezi ni tofaut kulingana na hadhi ya mgeni nchini kwao? Au walikosekana makamu wa rais, waziri mkuu, mawaziri au manaibu mawaziri kama wapo kuja airport kumpokea JK mpaka atumwe meya tena wa jiji hlo ambalo si mji mkuu? Au rais aliwapokea wagen anaowaheshmu na maarufu halafu waliobak walipokelewa na meya wa manispaa hyo ya Salzburg? Hivi Meya wa jiji la DSM anaweza kwenda airport kama kiongoz mkuu wa mapokez kumpokea Jacob Zuma? Hapa TZ rais wa Lesotho hata jina simfahamu lakin alipokelewa na makamu wa rais Dr Bilal. Tuelimishane kwa wenye ufahamu