Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

Hilo treni la umeme linabugia umeme mwingi mpaka mwanza na kurudi dar trc wataweza kulipa hizo gharama ikiwa nauli itakuwa ndogo? Na nauli ikiwa kubwa wasafiri itabidi waendele na mabasi tu
 
Kwanini walikuwa wanaongopa kuhusu utendaji kazi wa hiyo treni na walikuwa wanajua ipo siku treni zitaanza kazi na tutajionea madudu yao. Si wangesema tu tangu mwanzo huko kuwa treni itakuwa sio ya mwendo kasi na zaidi itakuwa kwa sababu ya kusafirisha mizigo.


Tumepigwaaa!
 
Tumepiga hatua kubwa sana maana kutaka leo hii nione treni ya Tanzania iwe sawa na Gauteng tren sio kweli wacha tuwape moyo hata ikitumia masaa kumi ni ya kwetu...
 
Embu tuipe muda hiyo treni ifanye kazi kwa muda kabla ya kupima ufanisi wake, hii kosoa kosoa nayo inavunja moyo watendaji.......wabongo tupunguze ujuaji mwingi usio na maana.
 
Mimi kutoka Dar hadi Moro kwa gari natumia masaa mawili tu. Ina maana ninafika mapema kuliko treni ya umeme wa bongo. Kwanza nasikia umeme ulikatika katikati ya safari. Kazi kwelikweli
Kwa speed ya ngapi ,acha kutudanganya hapa,sana sana utatumia matatu na hapo hujafuata speed limit ya barabarani
 
GENTAMYCINE nikisikia au niliambiwa Treni ya SGR itatumia saa 2 na dakika 30 au hata na dakika 45 kidogo nitaona imefanikiwa ila hili la kutoka Dar hadi Moro kutumia Saa 2 na dakika 20 naona ni Kufeli kwa Mradi na Mpango kwa Maendeleo ya Taifa, Muda na Uimarishwaji wa Uchumi wa Tanzania na Watanzania.
Ndo umeandika nini hapa au ume lewa?

Likud shughulikia huyu mtu
 
Mbona unahasira sana mkuu, tupe utabiri wa jumamosi na ijumaa
Huwa mnapenda sana Kukimbilia kuniona Mkorofi pale nikiwajibu Wanaonichokoza na Kunidhalilisha kwa Matusi ya kila aina hapa JamiiForums ila huwa mnanyamaza na Kufurahia pale Wao wakianza kufanya hivyo Kwangu. Wanafiki na Wapumbavu wakubwa nyie.

Kuhusu hayo Matokeo ya Ijumaa na Jumamosi muulize Mumeo au Basha wako ndiyo watakuwa Wanayajua zaidi kwani ni Magoli yale yale tu ambayo huwa anakufunga kila Siku mkiwa 6 kwa 6.
 
Back
Top Bottom