Wasioamini Mungu mnatafsirije mazingaombwa

nackia
Habari zenu wakuu,
Kuna wale ambao hawaamini uwepo wa Mungu wala wa shetani (atheist).
Naombeni mtujuze pale mazingaombwe yanapofanyika
( mfano ya kumpasua mtu tumbo au kumtenganisha kichwa na kiwiliwili n.k) Je,
ni sayansi gani inayotumika pale?
Manaake Watu walio katika imani husema baadhi ya mazingaombwe ni uchawi,
na nyinyi ndio hamuamini uchawi wala shetani, SASA MTUAMBIE NA MTUELEWESHE NI SAYANSI GANI INAYOFANYWA WAKATI WA MAZINGAOMBWE?
kuna chuo cha sanaa cha serikali kinafundisha hayo mabo hapa tz nahic itakua c uchaw
 
hao itakuwa wanafundisha jinsi ya kumuingiza SAWAKA kwenye suruali (bila kukudhuru)
LAKINI HAWAFUNDISHI ULE UCHAWI WA KUUGEUZA MCHANGA KUWA PILAU...
 
Kwahiyo unathibitisha uwepo wa Mungu kwa mazingaombwe?
Wanasayansi huwa hawaamini
Wanataka waone..
sasa mimi nimeona uchawi ukitendeka,
na wao wakakiri.
So kama shetani yupo basi hata Mungu pia yupo...
Kama wanabisha basi walete ufafanuzi
nini hufanyika pale MCHANGA UNAPOGEUZWA KUWA PILAU
 
Hakuna dini inayokataa kwamba hakuna uchawi...
Rudia tena maandiko..... Nina matatizo ya kukariri mistari ningekupa reference.

Sent from mTalk
Hii hapa mkuu

Ufunuo wa Yohana 21 : 8
"Lakini watu waoga, wasioamini, wapotovu, wauaji, wazinzi, wachawi, waabudu sanamu, na waongo wote, mahali pao patakuwa ndani ya lile ziwa linalowaka moto na kiberiti; hicho ndicho kifo cha pili."
 
hao itakuwa wanafundisha jinsi ya kumuingiza SAWAKA kwenye suruali (bila kukudhuru)
LAKINI HAWAFUNDISHI ULE UCHAWI WA KUUGEUZA MCHANGA KUWA PILAU...
kweli mkuu nlishasikia wakikitangaza sema ckumbuki ni kiongoz gan aliekuwa anakiongelea wanadai c uchawi ule,inawezekana hata jecha alisoma chuo hicho.......................................................................................
 
Hivi unavyo mchinja mtu live na ile ya kimazingaumbwe huoni tofauti
 
Habari zenu wakuu,
Kuna wale ambao hawaamini uwepo wa Mungu wala wa shetani (atheist).
Naombeni mtujuze pale mazingaombwe yanapofanyika
( mfano ya kumpasua mtu tumbo au kumtenganisha kichwa na kiwiliwili n.k) Je,
ni sayansi gani inayotumika pale?
Manaake Watu walio katika imani husema baadhi ya mazingaombwe ni uchawi,
na nyinyi ndio hamuamini uchawi wala shetani, SASA MTUAMBIE NA MTUELEWESHE NI SAYANSI GANI INAYOFANYWA WAKATI WA MAZINGAOMBWE?
Hakuna sayansi hapo mkuu,huo ni ushetani tu
 
Habari,
Mie sidhani kama hakuna hasiyeamini kuwa mungu hayupo. Sema kuna kitu twasema "kupuuza", hii kitu humfanya mtu ajihisi kama anaouwezo wa kujiendeshe mwenyewe aka kujisimamia mwenyewe katika mambo yamuhusuyo mwenyewe. Hakuna mtu atembeae mwenye bila msaada wa mungu ila sema sikuizi tuko na GOD and gods. Sasa hawa wenye gods wako wengi ndo maana wamekosa kuwa uelekeo kwani hawa gods wamekua na sauti nyingi mpaka waamini hawazitambui za mungu halisi na feki.
Mazingaombwe ya sasa ni nguvu za giza kwani iyo Tunu hawapewi ili wake kutupiga pesa.
 
Tena jana kuna mtu alileta kwenye facebook, mtu anamkata mwingine katikati na kutenganisha kuanzia tumbe kwenda juu, na miguu. Alifanya hivyo kwa watu wawili mmoja mwanaume na mwingine mwanamke. Kwisha kumaliza kuwatenganisha hivyo, akachukua kipande cha juu cha mwanamke akakiunganisha na kipande cha chini cha mwanamume, na hivyo hivyo kwa mwanamume. Viumbe hawa wawili wakasimama na kuamkuana kila mmoja akawa na sehemu ya nchi ya mwenziwe! Akili yangu ili jam!
 
(( Na wala Suleiman hakukufuru, bali
mashaytwaan ndio waliokufuru,
wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyoteremshwa kwa Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabiyl. Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni
mtihani; basi usikufuru. Wakajifunza kwa hao wawili yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru mtu ila kwa kutaka Allaah)) (2: 102).
 
Hakuna kitu kinaitwa mungu. Usidanganywe. Mazingaombwe ni uchawi ambao pia hao unaowaita watumishi wa mungu wanautumia. Funguka
Kwani yeye amesema kipo au yupo!?? Mkuu mbona ametumia kiswahili au wewe huelewi kiswahili
 
Hilo ndiyo swali lililoshindikana Dunia nzima
?

Mleta mada hujui maana ya Magic trick?

Kama hujui hata tricks zinazotumiwa basi hatuwezi kukulaumu kwa hiyo title yako hapo juu
Afu nshakuja kustuka hadi nyie maatheist mna madhehebu!
Mwenzio hapo kasema uchunguzi bado unaendelea wewe unakuja na swala la magic trick sasa which is which?
 
triga said:

Atheism si dini mpaka iwe na madhehebu,na wala hauna makao makuu au viongozi

Hata Monotheism[ukristo na uislam] ni tawi la Atheism

Kwasababu inapinga uwepo wa miungu mingine kama Osiris,zeus,mars au venus hata bila sababu yoyote ya msingi

Mkristo au Muislam ni atheist aliye limit u-atheism wake kwa Mungu mmoja

Kwani hata na yeye,hupinga uwepo wa miungu mingine
[Niliyoitaja hapo juu]

Mkuu na wewe,umeamini kuwa ule ni uchawi?

Tatizo la STUNTER anataka sisi ndo tumuelezee hizo trick zinafanyweje,

Jambo ambalo hatuliwezi kwasababu sisi si wanamazingaombwe

Mfano tazama hii video,
Ya mwanamke anayetenganishwa vipande viwili

Hapo wameelezea jinsi inavyofanyika,mchezo mzima upo kwa box pamoja na huyo Bi dada

Tazama kwa makini,hakuna uchawi hapo

Je, mchanga kugeuzwa pilau?
hii unaionaje mkuu?
 
Atheism si dini mpaka iwe na madhehebu,na wala hauna makao makuu au viongozi

Hata Monotheism[ukristo na uislam] ni tawi la Atheism

Kwasababu inapinga uwepo wa miungu mingine kama Osiris,zeus,mars au venus hata bila sababu yoyote ya msingi

Mkristo au Muislam ni atheist aliye limit u-atheism wake kwa Mungu mmoja

Kwani hata na yeye,hupinga uwepo wa miungu mingine
[Niliyoitaja hapo juu]

Mkuu na wewe,umeamini kuwa ule ni uchawi?

Tatizo la STUNTER anataka sisi ndo tumuelezee hizo trick zinafanyweje,

Jambo ambalo hatuliwezi kwasababu sisi si wanamazingaombwe

Mfano tazama hii video,
Ya mwanamke anayetenganishwa vipande viwili

Hapo wameelezea jinsi inavyofanyika,mchezo mzima upo kwa box pamoja na huyo Bi dada

Tazama kwa makini,hakuna uchawi hapo

Je, mchanga kugeuzwa pilau?
hii unaionaje mkuu?
 
Tena jana kuna mtu alileta kwenye facebook, mtu anamkata mwingine katikati na kutenganisha kuanzia tumbe kwenda juu, na miguu. Alifanya hivyo kwa watu wawili mmoja mwanaume na mwingine mwanamke. Kwisha kumaliza kuwatenganisha hivyo, akachukua kipande cha juu cha mwanamke akakiunganisha na kipande cha chini cha mwanamume, na hivyo hivyo kwa mwanamume. Viumbe hawa wawili wakasimama na kuamkuana kila mmoja akawa na sehemu ya nchi ya mwenziwe! Akili yangu ili jam!
WANAKANYAGANA SANA,
HAWANA MAJIBU YA KUELEWEKA,
inaonyesha hawana hata misimamo thabiti
 
Back
Top Bottom