MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,563
Hapo kwenye nyekundu sijakuelewa vizuri kaka yangu. Ubora kwa maana ya kitu gani? kuwa wanawezakuwa wake wema au? kwa sababu kwangu mie sidhani kama kuwa mke mwema kunahusiana na elimu! labda unambie tabia ambayo nayo ni kigezo kinachotegemea na mtu na mtu! Labda kama utawezathibitisha kuwa tabia ya mtu inategemeana na kiwango cha elimu yake, kuwa akiwa na elimu zaidi anakuwa na tabia mbaya kulinganisha na mwenye elimu ya chini na tukifikia huko itabidi tuidefine tabia kwa mapana yake!Tunakushukuru dada kujitosa ulingoni, hapa tunaomba maoni muhimu kutoka kwenu akina dada mtutoe mashaka. Kunaweza kuwa na sababu ambazo wasichana wasomi wanaamua ama kwa kutaka kutopenda kuolewa, au kwa kukosa wanaowachumbia na kuamua kujenga hoja ya kusema wameamua kubaki walivyo ili kuwa na uhuru zaidi.
Kwa vyo vyote mpaka akamua kubaki kama unavyosema kuna kitu kilicomfanya aamue hivyo kwa sababu maisha ya ndoa au mahusiano ya mume na mke ni nature na hakuna siyeguswa nayo hata awe ni kasisi au mweremita. Nini tatizo la wasichana wasomi ambao wengi hugraduate kuanzia miaka 24 and up, je, mnawezaje kutuhakikishia wanaume ubora wenu tofauti na wengi tunavyofikiria?