wasichana wanabore sana

Haya ndo maana mnaishia kuchuna

Lakini na nyie huwa mnapenda msipo pendeka pia

Yote ni maisha,kila mtu ana haki ya kuamua analotaka na kulifanya.
Kupendwa tusiko pendwa hata nyie mnafanya hivyo si ishu,ni sehemu ya maisha yetu binadamu.......:car:
 
kaka, mimi si-clii hata angekuwa kim khardashian.. Watoto mbona wako wengi tu, na wengine wanabalehe right this minute..

hahaa,umenichekesha sana. Wenzako wanalipa tu wala hawajali. Sasa hao wanaobalehe leo si kuwaonea tu jamani.
 
Hahahaha sasa hapo ulikuwa umekolea kwa toto moja na ndo linakuletea bill ya aina hiyo ni kukupima upepo tu.
Demu anayenileta bili au kutaka vocha sijui mazagazaga gani huyo ndio asahau.that will be the last time she hear from me..labda akiwa nke au nchumba wangu ndio ntafikiria kidogo...maana hapo najua nna hisa..
 
kumbe kuna klasifikeshen ya wasichana

Unajidai hujui,we huko uswahilini unatafuta nini kama si hao wa gharama nafuu??tunaweza kuwa tumefanana maumbile yanayotutofautisha na nyie but we differ in so many aspects,hata wanaume nao wana classification zao????
 
Hata hao wa kupiga na kuondoka,angalia na standard yako,kuna mwanaume mwingine unajiuliza hizo guts za kusogea karibu na yule dada katoa wapi???Umezoea kulipia guest house 5000,mwenzio kama akilala sehemu cheap ni dola 600,in short mnaboa....hamna cha kuonyesha urijali wala uhanithi,angalia na unayemtafuta hata kama ni part time ndo maana kuna wasichana wa kila hali......:Cry:

usidanganyike michelle,
wanawake wote mnafanana tu,
uzuri wanaume hatudanganyiki na mwonekano wenu wa nje!!!
Nasemea wale wanaume ambao tunajiamini kwasana tu hii ndo falsafa yetu!!!!!!!
 
kama gabrielle union na johari l.o.l
 
Hivi jana pale MULEBA BAR - Mabibo umeondoka saa ngapi? Maana wao music ni DVD "Live"!

Ikivuka ten ujue umeibiwa! Sana sana 8200/- watu wawili bia mmelewa sana na Kuku Mzima!

Unajua pale ni winga nzuri la timing foleni ubungo

Yule mhudumu bonge anahudumia vizuri hata kupangusa meza anafanya vizuri sana.
 
hahaa,umenichekesha sana. Wenzako wanalipa tu wala hawajali. Sasa hao wanaobalehe leo si kuwaonea tu jamani.
Hao wanaolipa wanalipa kwa sababu ya unyonge...maana hawana gemu zaidi ya kuhonga. *tena pesa yenyewe ya kukopa ofsini, uwiii*

Hizo totoz mbichizz zinazobalehe ni kuonesha tu unlimitedness..umenisoma hadi hapo bidada? :tongue:
 
Demu anayenileta bili au kutaka vocha sijui mazagazaga gani huyo ndio asahau.that will be the last time she hear from me..labda akiwa nke au nchumba wangu ndio ntafikiria kidogo...maana hapo najua nna hisa..

Yaani hata ya kubip huwezi mpa? Unaweza ukawa na miahadi nae sasa akifika mawasiliano si unajua muhimu lazima umtumie kidogo ka vocha mm huwa sizidishi saidi ya 400/= najua kubip na kutuma sms inatosha. Ila mm nachukia sana nikiombwa vocha aaaah mm najaza jelo jelo sasa mtu anakuomba tena dah
 
Unajidai hujui,we huko uswahilini unatafuta nini kama si hao wa gharama nafuu??tunaweza kuwa tumefanana maumbile yanayotutofautisha na nyie but we differ in so many aspects,hata wanaume nao wana classification zao????

wewe michelle,Sio gharama nafuu tu
hata huduma yenyewe inayotolewa imetulia,
hakuna longolongo kule!!!!!!!!
muulize Fidel!!!!!!
 
hivi huwa mnafuata nini huko?
mpaka kufikia kupewa bills zote hizo,
huwa najiuliza wana nini cha maana hao mpaka uingie mfukoni kiivyo?
kama shida yako ni kugusa na kusepa, then taabu yote ya nini hiyo?

ha ha ha ha ha mkuu unamaanisha twende sokoni tukachague au?
 
nagonga kisha nasepa,
kwakuwa kwa mtaji huu wa kunifyonza,nikisema nikugande tu...........
unaweza ninyonya mpaka damu!
hamna huruma nyinyi!!!!!!!!!

...dah ebu nenda.....nenda mwana kwenda...
 
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.
akisubiri mpaka ufanikiwe invoice itakuwa ya nini?
 
usidanganyike michelle,
wanawake wote mnafanana tu,
uzuri wanaume hatudanganyiki na mwonekano wenu wa nje!!!
Nasemea wale wanaume ambao tunajiamini kwasana tu hii ndo falsafa yetu!!!!!!!

Tunafanana uchi tu,mi siongelei sura hapa
Mtoa mada anachoongelea ni gharama ambayo baadhi ya wasichana wanawapa wanaume si sura wala maumbile
Ishu si kujiamini au kutokujiamini,by the way hao wanaoenda kwa wanawake wasiowaweza wanajiamini,my point is angalia na yule unayemtongoza,if you can not afford her look for what you can!!
 
Yote ni maisha,kila mtu ana haki ya kuamua analotaka na kulifanya.
Kupendwa tusiko pendwa hata nyie mnafanya hivyo si ishu,ni sehemu ya maisha yetu binadamu.......:car:

Bora kubana uswazi tu, nyie wa mboga saba hatuwawezi bana
 
Hata hao wa kupiga na kuondoka,angalia na standard yako,kuna mwanaume mwingine unajiuliza hizo guts za kusogea karibu na yule dada katoa wapi???Umezoea kulipia guest house 5000,mwenzio kama akilala sehemu cheap ni dola 600,in short mnaboa....hamna cha kuonyesha urijali wala uhanithi,angalia na unayemtafuta hata kama ni part time ndo maana kuna wasichana wa kila hali......:Cry:

Wanawake wote wako sawa tu - tofauti ni-aproach ya mwanaume! Kuna wanawake ambao nilikuwa naona matawi lakini ukimu-aproach unaweza kukuta hata ile gesti ya panorama karibu na Meeda Bar sinza inamtosha - tena short time!

Nimekutana mpaka wanawake ambao wakitongozwa wanaume wanawapeleka Dubai ku-do, lakini mimi huwa nawapeleka PR Sinza!

Katika swala na ku-do ALL WOMEN ARE EQUAL!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom