wasichana wanabore sana

Bora kubana uswazi tu, nyie wa mboga saba hatuwawezi bana

Mungu mwenyewe alijua hivyo ndo maana akatuumba tofaut/akatupa riziki tofautii........kila mtu ana wake hapa duniani,ishu ni kujielewa na kujikubali....utaishi kwa raha hapa duniani kama mimi.
 
unaona sasa,
hebu waambie hawa wakina Michelle na Maty,
huduma ndo inayokimbiliwa hapa!!!!!!!

we bacha wewe umesikia mimi mpiga mizinga lol ushindwe, ningekuonjesha huduma ila tatizo wewe unapenda sana visivyohalalishwa
 
Unalia nini sasa Samora 10,embu nyamaza kwanza huo uso utulie ndo nikujibu manake waweza lia zaidi????:car:

Hivi, tukiwa tunawahonga Michelle,
na kuingia magharama yote hayo,
Na kama tukikuta huduma ni kichefuchefu,
je, mnaweza japo kurudisha gharama japo nusu tu?
si mnajua dhuluma ni dhambi kwa mungu eeeeh!!!!!!!!!
 
wewe michelle,Sio gharama nafuu tu
hata huduma yenyewe inayotolewa imetulia,
hakuna longolongo kule!!!!!!!!
muulize Fidel!!!!!!

Kiongozi,

Naona michelle amezaliwa Upanga, amesoma Olimpiyo, na Kisutu Girls then Scholarship UK!

Kwa mtizamo wangu - Wanawake wazuri wapo uswazi - full stop - Wale hawajui Meriedo wala nini - Lakini akivaa kigauni cha "mtumba" anapendeza kuliko hawa wanaoshinda shopping malls - and above all - they know how to make love!
 
Jamani tukumbuke kuwa unapotaka kula sharti na wewe uliwe kidogo hivyo sio mbaya kuliwa ila iwe kidogo maana wanawake wengine kwa mizinga ni balaa
 
Hivi, tukiwa tunawahonga Michelle,
na kuingia magharama yote hayo,
Na kama tukikuta huduma ni kichefuchefu,
je, mnaweza japo kurudisha gharama japo nusu tu?
si mnajua dhuluma ni dhambi kwa mungu eeeeh!!!!!!!!!

Huo unakua ni ujinga wako mwenyewe kilikusibu kipi ukahonga weeeeeeeeeeeeeee kabla hujapata unachotaka? babu yangu huwa asema huduma nzuri malipo mazuri. Tatizo lenu huwa mnahadaika sana mkiona mwanamke mzuri mnadhani na uko kuzuri ndio unahonga mpaka halafu ukienda uko unakutana na bwawa halafu la baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mkome
 
Kiongozi,

Naona michelle amezaliwa Upanga, amesoma Olimpiyo, na Kisutu Girls then Scholarship UK!

Kwa mtizamo wangu - Wanawake wazuri wapo uswazi - full stop - Wale hawajui Meriedo wala nini - Lakini akivaa kigauni cha "mtumba" anapendeza kuliko hawa wanaoshinda shopping malls - and above all - they know how to make love!

mkuu kwa hisani ya WOTE WANAOPENDA TOTOZ ZA USWAZ,

NAKUPA THANKS MKUU!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi, tukiwa tunawahonga Michelle,
na kuingia magharama yote hayo,
Na kama tukikuta huduma ni kichefuchefu,
je, mnaweza japo kurudisha gharama japo nusu tu?
si mnajua dhuluma ni dhambi kwa mungu eeeeh!!!!!!!!!

Utajiju.....quality not guaranteed,na hapo ni ngumu kupima inawezekana kitu nzuri tu sema unauona hai-worth hiyo gharama uliyojitutumua ukatoa.....ha ha ha ha,mi penda hii!
Hapo ndo tunasema utajibeba,ujifunze!:A S 27:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom